RC imekuwa ikitoa waraka hata kipindi cha magufuri, msipende kuficha uovu juu ya kichaka cha dini na jinsia. Unataka kusema haya yanayogendeka sasa ni sahihi?
Nakumbuka ndugu yangu alipata ajari mkoa fulani ambao ni jirani na ninapoishi, ikidibi niende kufuata mwili wa jamaa pamoja na majeruhi mwingine. Tukatimba kwenye Noah mie mbele na dereva. Tumeanza safari saa 3 usiku tunaingia kijijini saa 7 mchana hiyo hakuna kulala maana alfajiri ilibidi...
Kupeana kazi za ufundi kwa kujuana kulinidharimu, ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza nilinunua kiwanja cha sq 400, nikampa kazi mshkaji wangu ya kuchora ramani tukaenda site kuchukua vipimo pamoja na kuangalia geographia ya eneo, nilipata ramani ndani ya muda tena nzuri sana. Ishu ikaja kwenye...
Nilimkosakosa ex girlfriend wa cousin wangu, siku ananiambia ana hamu ya massage na mie nipo mkoa aliopo na nipo hotel ya jirani na kwake. Nilim guarantee sintomfanya kitu ila najua asingeweza vumilia angelika tuu. Mungu saidia alighairi kuja mwishoni.
Kimasihara yangu ya mwisho nimekula demu hata jina simjui.
Picha inaanza nimeingia mkoa fulani kulikuwa na event ya kijamii so watu kutoka mikoa mbalimbali walikuwepo. Uzuri nilikuwa na demu katika mkoa huo na kesho yake asubuhi alikuwa na safari ya kikazi ivyo akaniachia gari lake ili niweze...
Kwa mujibu wa Sheria namba 15 ya Bendera na Ngao ya Taifa ya mwaka 1971 imetoa maelezo ya namna bendela ya taifa inatakiwa kuwa pamoja na matumizi yake. Mpangilio wake ni kama ifuatavyo
Bendera itakuwa imegawanywa kwa pande 2 kutoka juu kushoto kwenda chini kulia nafasi ya juu itakuwa kijani na...
Kwanza kabisa ningependa ku share na wanajamii forum wenzangu juu ya swali nililoshindwa kulijibu kutoka kwa kijana wangu, baada ya kijifikiria sana nikaona nina deni la kujibu swali lake.
Last week tukiwa tunaangalia hafla ya upokeaji wa ndege ya shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania...
Binafsi nilipanda kipindi Desemba, 2020 kipindi hicho COVID ipo nililipa kama laki 8 kwa kampuni ya jamaa mmoja anaitwa Ngowi kama sijamkosea, gharama hiyo alinikodisha pamoja na gears, pamoja na gharama zote za kupanda hadi kushuka. Na ilikuwa cheap maana nilikuwa na mwenyeji anaye deal na...
Binafsi nishawai kupanda kupitia njia ya Marangu, vyoo vipo kwenye vituo vya kupumzika eg Mandara, Horombo, Kibo hut, Kama sijakosea na Last water point hakuna hut za kulala ila ni sehemu ya kupumzika na kula chakula wakati wa safari ndio kuna vyoo. Ila sehemu nyingine ukishaanza safari hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.