Recent content by Komamanga

  1. Komamanga

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    COMPARATIVE ANALYSIS CONTINUES..... VETA 1 Mkurugenzi Mkuu Zebadiah S Moshi MKRISTO 2 Mkurugenzi wa Utumishi Mrs Adeline Macha MKRISTO 3 Mkurugenzi wa Mafunzo Mrs Leah Lukindo MKRISTO 4 Mkurugenzi wa Fedha Mrs N Mwakalukwa MKRISTO...
  2. Komamanga

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    LAPF 1 Mkurugenzi Mkuu Eliudi Sanga 2 Mkurugenzi wa Uwekezaji Rose Metta 3 Mkurugenzi wa Fedha John Kida 4 Mkurugenzi wa Huduma za Wateja Valerian Mablangeti 5 Mkurugenzi wa Utumishi Daniel Sigonda 6 Mkurugenzi wa Kompyuta Daniel Kissiry 7 Mkurugenzi wa...
  3. Komamanga

    Ndoto ya Wachaga na Shirima kuwa DG NSSF

    Kuna habari ambazo zipo mjini kwamba Somebody Shirima anakwenda kuwa DG NSSF na wamekuwa wakionekana baadhi ya wananchi wakishangilia bila ya matarajio na uhakika wa kile wanachoshangilia. Inasemekana Rais Kikwete yupo mbioni kumchagua Bw.Shirima kuwa DG wa NSSF... naomba tu kuweka...
  4. Komamanga

    Prof Muhongo awadhulumu wafanyakazi TPDC haki ya kugombea nafasi ya Ukurugenzi Mkuu

    Look here, hamna Personal Attack hapa jamaa ana Alergy (Nitakuja hoja na data za watu wa Wizara yake nzima)...maana kama hoja ni kuwa na PhD mbona kuna watu wana PhD nzuri zaidi ya huyo Personal Assistant wake na majina yamekatwa na hawajaitwa kwenye interview...hapa ndio penye tatizo and trust...
  5. Komamanga

    Prof Muhongo awadhulumu wafanyakazi TPDC haki ya kugombea nafasi ya Ukurugenzi Mkuu

    Hoja imekubalika..it seems Le Professori ana Alergy
  6. Komamanga

    Prof Muhongo awadhulumu wafanyakazi TPDC haki ya kugombea nafasi ya Ukurugenzi Mkuu

    Duuuu!!!! Kwani Prof ana umri gani? Au Uzee sasa huu (carbon paper imeisha wino)
  7. Komamanga

    Baada ya madudu ya ajira za uhamiaji sasa imekuja kwenye scholarship za oil na gesi

    Kaka nilifikiri naongea na mtu anayelewa kinachozungumzwa kumbe Kilaza mmoja....hizi scholarship hazijatolewa na Wizara ya Elimu ni Wizara ya Nishati na Madini...Kajipange upya!!
  8. Komamanga

    Baada ya madudu ya ajira za uhamiaji sasa imekuja kwenye scholarship za oil na gesi

    Fairness hakuna hapo yaani hiyo ni zaidi ya Kero ya Muungano...hata wakina Hami J hamna hata mmoja...Kweli Prof sasa naanza doubt nae kama alivyo doubt umahiri wa Sendeka....hata kama ndio ametumwa na kanisa basi hata 2 wa kutudanganya na zile data zao za Board of Tourism kwamba 35% kwa 65% basi.
  9. Komamanga

    Baada ya madudu ya ajira za uhamiaji sasa imekuja kwenye scholarship za oil na gesi

    Mkuu hiyo ni Mipango ya Sunday School....Prof kajitutumua
  10. Komamanga

    Baada ya madudu ya ajira za uhamiaji sasa imekuja kwenye scholarship za oil na gesi

    Duuuu!!!Naona Prof ametimiza malengo ya Kanisa....Hekooo!!!!!! Prof Muhongo kweli Muongo hajasubiri hata watu tusahau yale ya uhamiaji...
  11. Komamanga

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi 24 Mei 2014, Mkutano wa 15 Kikao cha 17, Bunge la Bajeti

    Mhe. Dr. Dau...Saluuuuuuuuuute!! Huwezi kumjua mchawi kama na wewe si mchawi...anayesema masuala ya Dr Dau Mdini basi yeye ndio mdini namba moja...What u see is what u get? The guy is genius na anajua nini cha kufikiri na kwa wakati gani.....Achane tabia zenu za kishamba za kipinzani ...mwenye...
  12. Komamanga

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Mimi nimekwenda Vikindu hapo anaposema mtoa mada na nilifanikiwa kuongea mpk na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji Bw. Mwinykheri amesema hii issue ni uzushi na wala hawana taarifa yoyote kuhusiana na suala hili sasa jamani angalia msije ingizwa MKENGE mkanunua halafu mkaja kujutia. HAKUNA KITU...
  13. Komamanga

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    KWA MARA YA KWANZA JF LEO WATU WANAINGIA NA PASSWORD...HAHAHAHAHA.....Kazi kweli kweli....Na badooooo!!!!
  14. Komamanga

    TRA- Short list for aral interview

    Duuu!!! Kweli mwaka huu mdogo wangu anaweza kuanza kuugua Pressure..Ina maana hawa jamaaa wa TRA wameshaita na zile kazi nyingine au wamesema kwanza na jamaa wa CUSTOMS....maana dogo langu linasubiri hatma yake ya TRA haijui hata ya NSSF maana mpaka sasa hakuna hata beep na simu yake kutwa...
Back
Top Bottom