Hata me nimeshtuka. Kijana anapiga debe hadi sauti inakauka. Najiuliza ni viwanja tu au kuna kingine. Na hii ya kutumia tigopesa pia imeniongezea hofu. Usikute baada ya 'mavuno' laini inatupwa.kwa hesabu za harakaharaka we ni mwizi kwani unapiga debe sana mpaka unawazidi nw wanasiasa uchwara wa bongo