Recent content by Komagunda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vurugu Afrika Kusini: Vifo vyaripotiwa mgomo wa madereva wa malori

    Acha kabisa SA bora ukutane na mwenyeji wa kule kuliko ukutane na Mtanzania aliyechoka maisha unaweza ambulia kuibiwa wako kiharamia haramia,na ndiyo hao wanapata kibano huko.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

    Kitendo cha kupanda basi toka mwanza kuja dar inaonyesha hata kula amekula.hivi nawezaje kutoka mwanza kufwata me Dar mdada ninaye jiamini,kujipenda na mwenye samani big no. Sijui kizazi hiki kinaenda wapi! ezi zetu tunafwata eti.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Afunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi kutokana na makosa ya kuwalaghai wanawake na kuwaingilia kinyume na matakwa yao

    Wanatekwa na hizo dawa akikupulizia unafwata kama zezeta o
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

    Nawaasa tu wanaume wezangu kama unajijua unachepuka mpaka mkeo agundue na kuumia vya kutosha.ujue tu mkeo hayuko salama huwa nao wanalipiza kimya kimya na hutakaa ujue mpaka uingie kaburini.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Hii kali ungesema tu. :D :D :D :D :D :D :D
  6. K

    JamiiForums Tanzania MWANGA: Wilaya ya kishamba zaidi katika mkoa wa Kilimanjaro

    WW naona uliishia bondeni hukupanda juu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Naona alikutana na wale wenye Dawa wakamnusisha ukajiachia na no. za password ukatoa. Huyu aseme vizuri alikutana na waleee jamaa wa ndumba anakunusisha unataja yote
  8. K

    JamiiForums Tanzania Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    ist :p:p:p:p
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

    Kilema kanifurahisha sana! mara kashajiwazia atapandaje pale sijui anaenda kufanya nini kwenye mijengo yawatu :D:D:D:D:D
  10. K

    JamiiForums Tanzania Arusha mashoga ni wengi kuliko madada poa hali ni mbaya sana viongozi wa dini hamuoni?

    Huyo afanye kazi aache uongo muda mchafu hawana vijana wa AR wanasaka pesa kama wapi ni 0.1%
  11. K

    JamiiForums Tanzania I am addicted to sex

    Miaka 48 to 55 ni shida hapo ndiyo waweza rusha dawasco.
  12. K

    JamiiForums Tanzania I am addicted to sex

Back
Top Bottom