Kama kuna kitabu kinachoharibu akili ni Bibilia acha kudanganya Watu. Eti nyoka aliongea na Hawa hivi toka lini nyoka anaongea, Eti Samson aliua Simba kwenye jangwa la Palestina toka lini simba anaishi Jangwani, Eti walivuka Bahari ya Shamu usiku mmoja yaani km600 uvuke usiku mmoja? Mke wa Ruth...
Katika Ulimwengu hakuna dhambi hizo ni porojo za Wazungu na Waarabu tu. na Imani zao za sungura na fisi . Tunachokaza Waafrika ni kwamba Watu hawatakiwi kuishi kwa kubahatisha tufanye kazi.Wazee wa Kiafrika wanasema Michezo ya kubahatisha ni burudani tu wale usiwekeze akili huko maana mwanya wa...
Ujenzi imara location sahibi. Hakuna nguvu za kiroho hapo kanisa lingekuwa na nguvu hiyo basi lingefichwa kama Nyuklia .Hakuna nguvu yoyote kwenye hizo imani
Haya ongezeni bidii wafukuzwe wote ili wabadili majukumu yao kwa kutumia taaluma zao badala defensive awe offensive . Tukumbuke tu katika taarifa za Un kule Tanzania inaonyeshwa kuwa na alama ya kijani maana yake Hali ni Shwari kabisa ni tofauti na mataifa mengi Afrika hali ya uhalifu inaoneshwa...
Upuuzi Mtupu yaani taarifa za kufikirika tu.
Kila nikifikiri hatujarith utajiri wa Sulemani na bali dhambi za Adam na Hawa napata tabu sana kuamini Bibilia. Yaani Hawa kala Apple moja tu kafukuzwa bustanini na kaambiwa utazaa kwa Uchungu sasa wale Ng'ombe wetu hapa Tarime mbona na wao Wanazaa...
Yaani wewe Mbumbumbu kweli yaani ukiwa bizzy na mavitabu kuangalia uhalisia kweli huwezi ona ukweli Kundi kubwa la Watumishi wa umma ndiyo wajasiliamali wenyewe. Wao ndiyo wakulima,wao ndiyo wamiliki wa vyombo vya usafiri wao ndiyo wafanyabiashara tatizo kubwa ya hao wafanyakazi huwa wanaficha...
Siyo wanaoamini Bibilia wala Quran.wenye uwezo wa kupambana na Uchawi wa Afrika Nguvu zilizopo Afrika ni kali sana kuliko za Mashariki ya mbali .Ushauri wangu kwako usipoteze muda kwa Imani za kigeni rudi kwenye Imani ya Muafrika halisi Upate tiba za jadi utakuja shukuru .Iman za kigeni ni...
Boresheni Imani yenu acha upuuzi hata hujiulizi wazungu wakristo kuhiji Uzunguni ,Waarabu Uislam kuhiji Uarabuni,Wahindi Hindu kuhiji India Wewe Muafrika eti kuhiji mpaka Uende Uzunguni,Uarabuni na India yaani hujiongezi tu? Nenda kasalimie kwenu December Waafrika huenda kwenye mizimu yao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.