Recent content by kolo wasi

  1. kolo wasi

    Je, SADC imeshindwa kuondoa wanamgambo wa IS kule Msumbiji?

    Najaribu kufkria Na kuvta PC hawa alshababi kawanzisha nani na wakawa wanawaburuza wamarekani kwafarasi Na magar mitaani au walianzishwa Na mchina?
  2. kolo wasi

    Je, SADC imeshindwa kuondoa wanamgambo wa IS kule Msumbiji?

    Kumbuka miaaka ya nyuma marekani alizani somalia ni shuhuli ndogo tu akaenda wakati wakuondoka hatikuckia akia aga Nahuko tumesikia tz wanaenda kwenye kurudi tuje tuambiane [emoji22]
  3. kolo wasi

    Nahitaji mercury nyekundu

    We mtu upo Jibu kama upo tuyajenge
  4. kolo wasi

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi nimezingatia yote nabado mwezi uliopita mia na sita(110) vimeisha vote sikuambua hata moja na kuku nao wamekua kama wamesusa kutaga katika kuku 20 wametaga watano tu nime atamisha wa3
  5. kolo wasi

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nikipanga huyo Dawa yake ni kumtega kwa nyavu zile za kutgea ndege
  6. kolo wasi

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Mbona hata taifa lenu TZ linahukumu kifo hamsemi ? Juzi polic walituambiaje .......kule jaribu mkuranga
  7. kolo wasi

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hao unataka wewe ni wa kisasa
  8. kolo wasi

    Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Inawekana au pia isiwezekane yote yote yapo Kwani wilikwambia namba za silaha zilizoporwa ? Na wakakupa mrejesho? Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
  9. kolo wasi

    Nauza sungura

    Mkuu wanne unauza?
  10. kolo wasi

    Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa mitishamba

    asante natesekasana na hayamadawa ya makemiko kuku wanaendelea kufa tu hasa vifanga inaniuma !!
Back
Top Bottom