ahsante sanaNaomba nikupongeze kwa kua m-bunifu.....
Otherwise...... Ebu ngoja wadau waamke
Nyama ya sungura kiafya bora zaidi si kama nyama ya mbuzi,ng'ombe nk,sungura yupo kwenye kundi la nyama nyeupe kama kuku na samaki ndio maana bei yake ipo tofauti mkuuSungura 2 napata Mbuzi 1 pale Kiembembuzi!
nyama ya mbuzi na ng'ombe sio salama kivipi?Nyama ya sungura kiafya bora zaidi si kama nyama ya mbuzi,ng'ombe nk,sungura yupo kwenye kundi la nyama nyeupe kama kuku na samaki ndio maana bei yake ipo tofauti mkuu