Recent content by KOKUTONA


 1. KOKUTONA

  Ukatoliki ndio Uko hivi Duniani Kote?

  Niko DAR mpendwa. Mama watoto hajambo?
 2. KOKUTONA

  Ukatoliki ndio Uko hivi Duniani Kote?

  Hujambo baba?
 3. KOKUTONA

  Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

  LOVE POTION
 4. KOKUTONA

  Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

  Naomba kuuliza, nj wapi CAG alisema rais ni dhaifu. Kwa kumbukumbu zangu huyu mdhibiti jibu lake kwa bunge ni dhaifu ni kwa mantiki kwamba, anaibua madudu, anatoa mapendekezo ambayo bunge kama bunge (i mean parliament) hapo rais hawi sehemu ya bunge, na siyo (general assembly) hawayafanyii kazi...
 5. KOKUTONA

  Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

  Kwani rais ana mamlaka ya kumfuta kazi CAG? Naomba kuelewashwa. Na je huyo CAG akigoma kujiuzulu km wanavyomshinikiza watafanyaje? Nisaidie
 6. KOKUTONA

  Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

  Hahahaha...sentensi ya mwisho nimecheka sana. VIVA SIMBA S.C
 7. KOKUTONA

  Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi....

  Ngoja nizicheki. Thanks bro
 8. KOKUTONA

  Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi....

  Ahsante mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi. Imesimama bei gani?
 9. KOKUTONA

  Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi....

  Ahsante mkuu
 10. KOKUTONA

  Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi....

  Kwa kweli nasuburi nipate details maana naitaka
 11. KOKUTONA

  Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi....

  Vipi kuhusu galaxy A8+ 2018 ni nzuri?
 12. KOKUTONA

  CAG Ludovick Utoh aliibua madudu mengi bila kudhihaki taasisi!

  Nakiombaa km unacho soft copy or hata kunielekeza wapi naweza kukipata. Nakusalimu
 13. KOKUTONA

  Nani anafaa kuwa man of the match kwenye game ya leo kati ya Tanzania na Uganda?

  Hhahaaa, nimeipenda hiyo ya kukabwa mtu
Top