Duu Dada wenzio tulitafutwa tukaolewa tukaekwa ndan ,wee unatafuta????tulia mama mwanaume anakuja mwenyewe kma Na we umetulizana Na wala haina haja ya kumdescribe MTU hadharani
Habari wakuu.Nina mdogo wangu baada ya kukosa nacte kutokana na competition nlimuombea vyuo viwili Maji na st Francis ifakara.kapata water supply and sanitation engineering na kingine kapata medical laboratory sciences.nsaidien kuchagua course IPI nzuri
At a mi nmemchagulia dogo vinne ingawa sidhan kama atapata khaaa.nliapply juz alhamis na ndo SKU mfumo walifungua unakuta chuo kinaitaji watu 30 lakin washaomba watu 600 ad mda huo hatari sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.