NACTE rekebisheni mfumo wenu wanafunzi tuweze kuomba vyuo

Pole mliolipia kwa mara ya pili, naona wameongeza sehemu ya view available slots kwa waliokosa round ya kwanza ila bado hamna sehemu ya ku apply. Atakayefanikiwa alete mrejesho please maana vijana wananikaba koho kila mda simu
 
Kwa aliyefanikiwa kuaply round ya pili ,mbona hakuna sehemu ya kuchagua chuo, wanaonyesha vyuo vilivyo na nafas lakin sehemu ya kuongeza hakuna ,msaada please
 
At a mi nmemchagulia dogo vinne ingawa sidhan kama atapata khaaa.nliapply juz alhamis na ndo SKU mfumo walifungua unakuta chuo kinaitaji watu 30 lakin washaomba watu 600 ad mda huo hatari sana
 
Mi nimeamua kumuombea dogo st Francis ifakara certifi ya lab tech na Chuo cha Maji nmemaliza akipata ukooo aende tuu Ila nacte saluti
 
Jana mlisema mmefungua dirisha la wanafunzi waliokosa chuo waombe cha kushangaza mpaka leo wakiingia kwenye profile zao hakuna sehemu za kuedit ili waapply upya kozi zenye nafasi na muda unaenda huu ni wizi.

Pili, watu nakuta hali hii wanaamua kulipia upya wanakutana na kikwazo cha kuambia index no zao zimetumika hivyo pesa hiyo inapotea kwanini hamkutoa maelekezo jana kuwa kama umeshalipia huruhusiwi kulipia tena au mmekaa kimya ili mtuibie pesa hizo hakika jasho la masikini haliliwi taasisi kubwa kama hii kuwa wababaishaji ni hatari kwa taifa

hivi second batch wanatoa lin hawa washkaji zetu NACTE
 
Na mimi sijajua wanatoa lini second selection maana hata nikitaka kuingia kwenye profile sehemu ya ku-log in inanileta server error.
 
Back
Top Bottom