Ramadhani Abduli
New Member
- Sep 21, 2017
- 3
- 2
Wakuu hivi post za diploma udom zimetoka?
Jaribu, nafikiri unapata.Naomba mnisaidie kwa hili.
Kwa matokeo haya naweza kupata chuo hata cha private kwa kozi ya nursing?
Chem- C
Bios- D
Phys- D
Math- F
Engl- F
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalime matikitiJaribu, nafikiri unapata.