Recent content by kokotani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wasiokua na wezere huwa wanajisikiaje?

    Tatizo wabongo tunadhani ugali ndio chakula kikuu dunia jizima Athari za kukalili na kudhani ukipendacho wewe kila mtu anakopenda Lack of exposure. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    Nawashauri wanapoenda kutafuta kazi wasivae vimini na kuacha maziwa wazi Mtawalaumu wanaume sana Jueni kwamva ibilisi yuko kazini kila wakati Amini usiamini, si kila mwanamkwe anashawishika kirahisi Wanaume wengi wanatumia uddhaifu wa wanawake Kama uko smart kichwani na mwonekana hakuna...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Hivi baada ya hii vodeo wali fungwa miaka mingapi vile? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapoitangazia Dunia kuwa Tanzania si mahali Salama ana maana gani?

    Sasa hadi akutangazie wakati wewe mwenyewe unaona kwamba ni salama au si salama Sehemu salama pekee ni mbinguni Nani kakwambia Tanzania ni salama kwa raha zipi hadi iwe salama HAKUNA MBU HAKUNA MAGONJWA HAKUNA NJAA HAKUNA VIFO AU HAKUNA MAUMIVU Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Akili za binadamu bwana Wanahaha kuokoa maisha ya mgonjwa au na dereva?wabongo bwana Matatizo yale yale ya ushabikibwa yanga na simba Wanapojitoa akili. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    Ndo nimejua leo kwamba na yeye alikua kwenye kamati hizo ila hakuwepo Dar siku ya kukabidhi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Hata kenyata anauliziwa sana kila sehemu vituko anavyofanya Kawaida ukifanya vituko unauliziwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nafanya tendo la ndoa na mke wangu

    We achana na hayo madawa fanya maxoezi na diet iwe safi Utapata madhara sana ukiendelea na madawa hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Kwani chadema wako kenya Uchaguzi wa wakenya unawahusu wao sisi tuendeleze mahakama zetu huru tunazoziamini badala ya kufikiria mambo mengine Hii ndo shida ya wabongo Wakati dunia nzima wanajadili walichojifunza kwenye uchaguzi wa kenya wabongo wanaongea ubongo ubongo wa kibongo Sent using...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates

    Maelezo yote aliyayatoa zito wewe umeona neno mpwa tu sio Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

    Hivi hao wachezaji tuliowaona juzi Wamo kwenye Timu ya taifa au ni wageni Tutafute na kuandaa wachezaji wetu chipukizi badala ya kuendela kusajili wachezaji wa nje Nani staika hapa tanzania anaye weza fanya ukatoka nyumbani ukujiamini siku Taifa stars wanacheza na Cameroon Mavugo Okwi Niyonzima...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

    Kuna kuongea mpira ki ushabiki Kuna kuongea mpira ki uhalisia Hata nchi za wenzetu wanalunganisha sana dhamani ya investiment iliyotumika kwenye usajili na teturn yake(perfomance ya timu/mchezaji husiki) Mpira ni biashara Simba na yanga wana kawaida ya kutumia pesa nyingi sana kufurahisha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Aaa aaa kila wiki anakamatwa si afungwe kama anamakosa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Unapataje taarifa za ndani kuhusu nchi yetu kudaiwa kama huhusiki kuishtaki nchi yako?

    Inaweza fanya jambo jema sana lakini ulatumia njia mbaya sana kulifanya Inawezekena baadhi ya mambo yaliyofanywa kwa nia njema hayakufanyika kwa njia njema so kuna concequences zake Japo wengine hatupendi sana ukweli ila ikwelu ni kwamba kuna baadhi ya maamuzi yanatughalimu . Dun Sent using...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Unapataje taarifa za ndani kuhusu nchi yetu kudaiwa kama huhusiki kuishtaki nchi yako?

    Kwani nchi kudaiwa ni siri Anae kudai akiamua kukutangaza utamzui?mbona deni la taifa linajulikana hadi mbagala Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom