wewe ujui usemalo, na mawazo yako ni finyu sana, unashindwa kuelewa nini kua CHADEMA kitapaswa kutawala nchi kwa misingi ya katiba ya nchi? km katiba yatu hairuhusu hilo basi huo ndio msimamo wa nchi, regadless chama gani kitatawala, chadema kina viongozi makini na wafuasi makini, hilo tatizo...