Recent content by Kojo Dowido

  1. K

    NHC: Nyumba 5,000 za bei nafuu kwa wote! Nyumba yangu, Maisha Yangu!

    hapa kuna tembo weupe kibao wasio hata na meno (pembe). wamejenga nyumba bila kufanya market research na kujua purchasing power ya wateja wao. matokeo ni kulalama kuwa wasiporuhusuwa kuuza nyumba zao kwa wageni basi zitawadodea. Magufuli anakazi kweli ya kutumbua, maana ni majipu tambaazi.
  2. K

    Ukawa wanadai kuwa magufuli anatimiza ilani yao .

    Wamekua kama wale wa igizaji wa vichekesho vya vioja mahakamani wa hapo kenya. angalia baadhi ya wanasiasa wao, kuna wanaofanana na kina ondieki mkokota, josefati,nk. hasa wanapotetea mafisadi.
  3. K

    Nimshauri Nini Rais wangu??

    ungejiuliza taarifa hizi wamezipata wapi?:maana si umekiri hamna vyombo vya dola vya kuaminika.
  4. K

    Unapata picha gani juu ya kauli hii ya Rais Magufuli juu ya mapambano dhidi ya Ufisadi?

    mlicheza karata zenu vibaya wakati wa kumpata mgombea wenu wa urais sasa mkubali maumivu tu. na huu utendaji wa Magufuli ndio utawamaliza kabisa, #majuto ni mjukuu.
  5. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Barabara ya mwenge-morocco waweke na njia ya mabasi yaendayo kasi kabisa, sio kufanya vitu mara mbilimbili.
  6. K

    Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    Kuundwe tume ya kushuhulikia mishara ya watumishi wa umma wote bila kubagua, wakiwemo wabunge. si haki hata kidogo kuwaachia wabunge kujipangia mishara yao, moja ya kazi yao ni kutunga sheria na wala si hii ya kujitungia mishara na marupurupu makubwa. wana achwa wajigawie wenyewe keki ya...
  7. K

    Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    mambo mengine yanatakiwa kuwa siri. sioni umuhumi wa matangazo haya, tungeona matokeo tu baada ya kusomwa hizo cv, kama zipo. wengine tulikuwa tunajua sifa za ajira za hawa ni kuwa wengine ni makada.
  8. K

    Taarifa ya ubatilisho wa Milki ya ardhi

    Mimi na muomba mh Rais atumie hekima aliyo tumia kuona mapungufu ya sheria ya manunuzi ya umma na kuyaona pia haya mapungufu ya sheria ya ardhi hasa kifungu kile kinachotoa miezi 36 tu baada ya kumilikwishwa kiwanja mtu awe amesha kijenga. Lazima tukubali hii sheria ina wabeba wenye uwezo wa...
  9. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    baada ya ile sera ya kubadili gia angani kushindwa kufikia malengo tarajiwa mmeamua kuficha aibu kwa kuja na hii sera ya demoghasia, tuone nayo itawafikisha wapi?
  10. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    ukawa/cdm baada ya kubadili gia angani na kushimda naona sasa mmeibuka na hili la demoghasia, sijui mbunifu wa hii sera nani, inasikitisha sana watu wazima na akili zao kuburuzwa na kushikiwa akili kama watoto wa chekechea.
  11. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    kutokujua kwangu hakumzui rais kama amiri jeshi mkuu kuzima na kudhibiti huu uasi uliojificha ndani ya hiki nilichokiita demoghasia bungeni.
  12. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    Maalim si alijitangaza mwenyewe, yeye alingiaje kwenye uchaguzi bila ya kujua rules of the game. sasa baada ya kujitangaza mwenyewe ulitegemea zec wafanye kitu gani tofauti na walicho kifanya?
  13. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    zinduka na washtue wezanko huko ukiwa tuko awamu ya tano. Kikwete aliwaambia ikweli mtupu in advance kuwa ukawa mtageuka kuwa ukiwa. mkashindwa kufanyia kazi huu ukweli, na ndicho tunachoshuhudia sasa ukawa imegeuka kuwa ukiwa. Na mimi na kuambieni huu ukweli ukiwa you can't fight ccm, join...
  14. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    mimi na amini kama maalimu Seif hatachukua jukumu la zec kujitangazia matokeo hakuna kitakacho haribika huko zenji kwenye uchaguzi wa marudio.
  15. K

    Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

    wanafiki ni wale walioenda bungeni Dodoma huku wakijua kuna mambo hawakubaliani nayo, ndio maana hata hao mabwana zao huko ulaya wanaoenda kuwalilia kila wakati safari hii wamewapuuza baada ya kujua ujinga wao.
Back
Top Bottom