Taarifa ya ubatilisho wa Milki ya ardhi

Taarifa ya ubatilisho wa Milki ya ardhi

Sijaona yale yanayomilikiwa na Wazungu kule Arumeru, West Kilimanjaro na Mbarali ... Kulikoni? Taarifa ya Mdee inaonyesha kuwa Raia wa Kigeni wanamiliki Ardhi kubwa kuliko Watanzania ... Sanaa za CCM sasa zifike Mwisho ...
mkuu nadhani hoja hapa ni kwa wale waliobadilisha matumizi yaliyokusudiwa. au hawakufanya chochote kwenye mashamba hayo/viwanja hivyo. sasa hao uliowataja kama wameyatendea haki maeneo yao watanyang'anywa vipi?
 
Sijaona yale yanayomilikiwa na Wazungu kule Arumeru, West Kilimanjaro na Mbarali ... Kulikoni? Taarifa ya Mdee inaonyesha kuwa Raia wa Kigeni wanamiliki Ardhi kubwa kuliko Watanzania ... Sanaa za CCM sasa zifike Mwisho ...

Je hayo mashamba yanayomilikiwa na wageni yanafanyiwa kazi? Ngoja tu watu kwenye dhamira njema wauziwe vijana wetu wapate ajira
 
Je hayo mashamba yanayomilikiwa na wageni yanafanyiwa kazi? Ngoja tu watu kwenye dhamira njema wauziwe vijana wetu wapate ajira

Ni mashamba ambayo hayakwendana na matakwa ya mkataba. Nyie bana. aah
Nunua kiwanja harafu ukiache tu hivyo kilivyo uone nini kitatokea.
 
Mimi na muomba mh Rais atumie hekima aliyo tumia kuona mapungufu ya sheria ya manunuzi ya umma na kuyaona pia haya mapungufu ya sheria ya ardhi hasa kifungu kile kinachotoa miezi 36 tu baada ya kumilikwishwa kiwanja mtu awe amesha kijenga.

Lazima tukubali hii sheria ina wabeba wenye uwezo wa juu na kuwa kandamiza sana watu wenye uwezo wa chini. Hivi hebu tujiulize, mtumishi wa chini iwe serikalini au sekta binafsi anautoa wapi uwezo wa kumiliki kiwanja halfu ndani ya hii miezi tajwa awe amesha jenga? This is rediculous!

Uzuri rais wetu amepitia maisha haya ya mtu wa hali ya chini na ana ya jua machungu yake vizuri. Tuna amini atalifanyaia kazi hili. sisi wengine tunaendelalea kuomba kwa Mungu kwa ajili yake.
 
Joto la Pombe hili.Hapa ni kazi tu.Dhuluma ilipita nini!?

Wanaficha nini si waweke na waliokuwa wamiliki wake?

Na ndiyo maana hakuna jedwali la majina ya Wamiliki wake!. Naanza kupata harufu ya kazi ile ya Azimio la Arusha!
Watendaji kutumia mwanya ule ule kwa maislahi binafsi-nilitegemea na majina ya wamiliki wake!
Madudu yanatengenezwa nyuma ya pazi tena bado kabisa Serikali nzima haijatimia kuundwa!

Ukiangalia tarehe za kubatilishwa milki utagundua kuwa ubatilishwaji umefanyika kabla ya JPM kuwa rais.
Mambo ya utawala wa JK.
 
Sijaona yale yanayomilikiwa na Wazungu kule Arumeru, West Kilimanjaro na Mbarali ... Kulikoni? Taarifa ya Mdee inaonyesha kuwa Raia wa Kigeni wanamiliki Ardhi kubwa kuliko Watanzania ... Sanaa za CCM sasa zifike Mwisho ...

Vitu vyote haviwezi fanyika siku moja boss
 
Ukiangalia tarehe za kubatilishwa milki utagundua kuwa ubatilishwaji umefanyika kabla ya JPM kuwa rais.
Mambo ya utawala wa JK.

Mkuu hilo nilikuwa sikuliangalia 30/10/2015 Magufuli alikuwa bado ni Raisi Mteule !.
 
Back
Top Bottom