mbona hata hapa bado waongea na watu wale wale?, huwezi kukosa kabisa mtu anayefahamu vyema mazingira ulonayo na akawa radhi kukusaidia. Msaada mkubwa unaanza kwa watu wako wa karibu,hapa tunakupa maoni tu ila ukiamua kuyafanyia kazi lazma urudi kwny jamii yako
kaka waonekana unajitenga na jamii,,hata nafasi ya kukaa na watu kuongea tu yaweza kubadilisha muonekano wako wa kimaisha.Anza na kidogo ulichonacho,we anza na wazo linalokuja la kuinua uchumi. kadiri unavyojutia ndivyo unavyozidi kupoteza nafasi nyingi za kutoka. Anza kuishi kwa matumaini...
huu wimbo umekuwa pona yangu baada ya kupitia kipindi kigumu,, pamoja na nyimbo za matumaini za Tumaini Choir Arusha.. Kuna nguvu katika sala,, hakika Bwana Yesu huinua
mkuu pathology ya diploma haiwezekani ikawa sawia na pathology ya bachelor,unafahamu usirahisishe kisomo. Masomo yako simplified kulingana na level na wadau wanaopata uchungu kama nilionao watakubaliana nami umuhimu wa miaka mitano usipuuzwe.
Six good years!!!, mi nashindwa kuelewa watu wanatafuta nini kwenye afya. Tengenezeni mabomu tu yakianza kulipuka ndo mtaelewa fani imeingiliwa kifafa.. Med school sio trial, wafanye watu kwa kupenda na sio kukimbizana ili jamaa wawahi ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.