B40
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 820
- 537
Wakuu habari za mihangaiko
Bila kupoteza muda niende madani kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri ila nimekosa jibu.
Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex na mpenzi wake kitu cha ajabu kilitokea baadae baada ya jamaa kuona kinyesi katika shuka,na staili ilikuwa ya kifo cha mende(missionary).
Jamaa hana tabia ya kupita mlango Wa nyuma,na ameshakuwa faragha mara 6 na huyo mwanamke tukio hili ni Mara ya kwanza.
Pia mwanamke ana mkia wa kondoo(zigo la kuvunja chaga)pia huwa anarusha maji (squirting).
Jamaa ilibidi afue shuka ila alimficha mwanamke alipomuuliza mbona anafua shuka,je huyu mwanamke hakujua alichofanya?
Nisaidieni kumjibu maana mimi sijui la kumwambia.
Je, ni kawaida kama ndio nini husababisha?
Karibuni wapendwa.