chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 20,388 24,948 Mar 14, 2017 #3 Inafanya kazi? je kuna waranti yoyote?
SALADY JF-Expert Member May 8, 2015 220 196 Mar 14, 2017 #6 Inatumia 2D au 3D na upo sehemu gani na ni shi ngapi, imetumika mga gani?
E eddybr JF-Expert Member Jan 3, 2017 268 174 Mar 14, 2017 #7 Ina transducer ngapi, za frequency kiasi gani, na bei
Mulimila dole JF-Expert Member Jul 15, 2016 226 266 Mar 14, 2017 #10 Huyu hauzi hii picha katumiwa na shemeji yake anafanya kazi Regency ndiyo maana haweki bei
Mulimila dole JF-Expert Member Jul 15, 2016 226 266 Mar 14, 2017 #11 Huyu hauzi hii picha katumiwa na shemeji yake anafanya kazi Regency ndiyo maana haweki bei
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #13 bhachu said: Daaaah bei gani mkuu Click to expand... Million 20
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #14 Mulimila dole said: Huyu hauzi hii picha katumiwa na shemeji yake anafanya kazi Regency ndiyo maana haweki bei Click to expand... Million 20 mkuu, sifanyi kazi Regency....
Mulimila dole said: Huyu hauzi hii picha katumiwa na shemeji yake anafanya kazi Regency ndiyo maana haweki bei Click to expand... Million 20 mkuu, sifanyi kazi Regency....
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #15 koh koh said: si mbaya ukiandika bei yake,na uko wapi mkuu Click to expand... Million 20, kigamboni dar es salaam
koh koh said: si mbaya ukiandika bei yake,na uko wapi mkuu Click to expand... Million 20, kigamboni dar es salaam
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #16 Mulimila dole said: Weka bei Click to expand... Million 20
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #17 chakii said: Inafanya kazi? je kuna waranti yoyote? Click to expand... Ndio inafanya kazi, sawa naweza kukupa warranti
chakii said: Inafanya kazi? je kuna waranti yoyote? Click to expand... Ndio inafanya kazi, sawa naweza kukupa warranti
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #18 muvika online said: inafanya kazi gani hiyo kitu Click to expand... Inatumia frequency kupga picha za ndani ya mwili, hasa huwa inatumika kuangalia appendix.....kuangalia mtoto kwa wamama wajawazito n.k
muvika online said: inafanya kazi gani hiyo kitu Click to expand... Inatumia frequency kupga picha za ndani ya mwili, hasa huwa inatumika kuangalia appendix.....kuangalia mtoto kwa wamama wajawazito n.k
Mr Miller JF-Expert Member Jan 24, 2017 11,445 25,761 Mar 16, 2017 Thread starter #19 Dalton84 said: Inatumia 2D au 3D na upo sehemu gani na ni shi ngapi, imetumika mga gani? Click to expand... Sorry ni 2D
Dalton84 said: Inatumia 2D au 3D na upo sehemu gani na ni shi ngapi, imetumika mga gani? Click to expand... Sorry ni 2D