Recent content by Kogut

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi magonjwa ya ngono kama VVU, gonona kaswende Ulaya, Marekani yapo au ni Afrika tu?

    Yapo yote tu, ila Chlamydia ndio tatizo kubwa zaidi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Nikiwa garage ya uswahilini, katoto kadogo pengine miaka 4 hivi kakapita na kuniamkia kwa adabu zote Shkamoo Babu! Nikakajibu Marahaba mjukuu wangu, mambo? kakajibu Mambo poa Babu. Ndio ikawa mara ya kwanza na ya pili kuitwa babu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

    Jamaa kachapia tu. Huyu mama amesema mara kadhaa kuwa alinunua lori kwa shillingi milioni 83.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

    Mengi saana, kubwa kabisa ni mwenyezi Mungu kuendelea kunipa zawadi hii kubwa kabisa kuliko zote, zawadi ya uhai.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Wagonjwa wa Coronavirus Marekani ni 85,612 wakati wagonjwa wa coronavirus TZ ni 13. Wamarekani Walio bongo watachagua wenyewe, kusuka au kunyoa.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nachukia sana mwanamke anayetoa mimba

    It takes two to tango!
  7. K

    JamiiForums Tanzania What are some crazy interesting conspiracy theories?

    Tunapambana na COVID -19 mkuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania What are some crazy interesting conspiracy theories?

    1, The Planet Earth is hollow and there could be other civilization living in it. 2, Prince Charles is a vampire. 3, Princess Diana was assassinated. 4, Queen Elizabeth is a cannibal. 5, An elite cohort of reptiles rule the earth, an Justine Bieber is one of them. 6, NASA know about a...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

    Wakati mwingine nashindwa kushangaa! Watu wametongozana, wamegegedana bila kinga kwa staili zao zote, kama vile kifo cha mende, mbuzi kagoma kwenda, chuma mboga nk, bila kuja kuomba ushauri wowote ule hapa kundini. Sasa mimba imetunga, mtu anakurupuka kuja kuomba ushauri hapa. Ushauri wangu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kujilinda na vibaka ama wavamizi bila ya kuwa na silaha

    Krav Maga
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niache tabia ya kujitenga na watu?

    Wala sio issue kabisa, wewe ni kati ya wale watu wanaitwa kwa kingereza "Introverts". Nunua kitabu Quite : The power of Introverts in a World That Can`t Stop Talking, by Susan Cain. Ukishasoma hiki kitabu leta mrejesho hapa.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

    "Kettle calling pot black".
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee Antonio,Raia wa Italy akiwa na miaka 99 mwaka 2011 alimpa talaka Mkewe Rosa( 96) baada Ya kugundua alichepuka

    Fundisho hapa ni kwamba, kama mtu amekuamini 100%, kamwe usifukue makaburi yako ya zamani. Kwani maumivu ya kusalitiwa kwenye mahaba hayana umri. Big up kwa mzee Antonio, hakutaka upuuzi kabisa.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni Jina la kiingereza zuri kuliko yote la kumwita mtoto wa kiume mwaka 2020

    Hamdani ( I`m done).
Back
Top Bottom