Recent content by Kogatende

  1. K

    Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

    Pamoja sana, Mungu awabariki wote mnaopambana kuhakikisha tunapata habari
  2. K

    Press ya Gwajima kujirudia yale ya Nape?

    Kwani Gwajiboy anashida na Rais ? Yeye alikuwa anatafutana sijui kufuatiliana na mtu wake na sasa wameshakutana ndio sasa anataka kuongea nae.
  3. K

    Nimewaona Rais Magufuli, Prophet T.B Joshua na Profesa John Atta Mills

    Wakati anamuona Magufuli hukuwa na simu karibu angalau umpige ata picha? Ila kwa kutunga wewe ni hodari
  4. K

    Umoja wa Mataifa uwaangalie China kwa jicho la pili

    Nazani lilikuwa ikiizunguka Taiwan
  5. K

    China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

    Ukweli wa huu ugonjwa (The source) ni muhimu dinia kuujua. Na kama ikibainika ni China wameutengeneza basi Dunia yote iungane kuiadhibu china na Mali zake including fedha na madeni yake ya nje yataifishwe, yani kama kuna nchi Yoyote inayodaiwa na China basi hakuna kulipa au kama kuna Mradi...
  6. K

    Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

    Mbowe anasema kama yeye ni mchafu kama maccm yanavyotaka kuaminisha watu basi kipindi cha Mwendazake mahakama zingekuwa zimeshamuhukumu kwa ubadhirifu au rushwa?
  7. K

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Ila kiukweli watanzania tuliwezekena kwa muda wa miaka 5. Hakuna aliyeweza kuhoji chochote kilichosemwa au kufanya na wenye mamlaka no matter was good or worthless
  8. K

    Mgogoro wa Israel na Palestine - Safari ya Tera

    Simulizi nzuri. Binafsi nashauri mama afanye ziara Israel awaalike waje hapa Tz kama wawekezaji sababu tunamaeneo makubwa. Waje waishi huku na kuiendeleza Tanzania kwapamoja.
  9. K

    Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Mimi nadhani njia nzuri ya kuulinda muungano wetu ni kuunda nchi moja na serikali moja (Tanzania) hapo hizi kero litakuwa zimekwisha. USA ni muunganiko wa zaidi ya Mataifa 50 na hakuna tatizo la muungano wao sababu nchi zote zilizoungana zilikubali kupoteza uraiya wake
  10. K

    Tumeshinda vita ya awali

    Watanzani kwa umoja wetu tulimuomba Mungu na akajibu maombi yetu, Hivyo hatuna budi kusema sifa na utukufu ni kwake yeye muumba mbingu na nchi
Back
Top Bottom