Serikali ilipandisha bei ya mafuta ya taa bila kufanya utafiti kwamba inafanya kwa faida ya nani.Kama ilivyo serikali yetu badala ya kumpunguzia mzigo mlala hoi iliamua kupandisha bei ya mafuta ya taa eti ili kuzuia uchakachuaji wa mafuta ya taa na petroli lakini bila kufanya utafiti wowote kuwa...
:shut-mouth:NYIE WABUNGE WA CCM KAMA RAGE HIVI MNATUMIA MAKAMASI KUFIKIRI AU NINI.UNAVYOANZA KUTOA IDADI YA WABUNGE WAKRISTO NA WAISLAMU NA KUWAKANDIA WAKRISTO MBONA USITOE DATA ZA WALIOSOMA NA WASIOSOMA KWANZA MAANA SIO LAZIMA KUWEKA USAWA TUNAANGALIA UWEZO . HUONI HIVYO NDO UNACHANGIA UDINI...
Nyie wabunge wa ccm kama rage hivi mnatumia makamasi kufikiri au nini.unavyoanza kutoa idadi ya wabunge wakristo na waislamu na kuwakandia wakristo mbona usitoe data za waliosoma na wasiosoma kwanza maana sio lazima kuweka usawa tunaangalia uwezo . Huoni hivyo ndo unachangia udini ,vyeo...
kama wewe unayesoma hapa unatumia akili yako uliyopewa na mungu japo kidogo, hivi ni nani mpuuzi kati ya watu waliokataa mitaala isijadiliwe bungeni na waliotaka ijadiliwa kwa kuwa ni mibovu na baada ya matokeo kutoka kuamuliwa kuundwa tume wakati waliitetea kuwa inafaa haina haja ya kujadiliwa...
Kwa kweli hilo la kuuziana nyumba za serikali na genge lake la waporaji sijui alitumia akili gani,hapo alitumia ----- sio ubongo tunachataka sisi nyumba zilizouzwa zirudishwe,hilo ndio sharti la raisi ajaye kama ataweza zirudisha vinginevyo sisi vijana tutajazirudisha wenyewe baadaye
Baadhi ya maofisa wa TRA AUSHA wananishangaza sana unapokwenda kulipia kodi za ndani na za leseni za udereva wanakulazimishe ukalipie CRDB ambao wapo nao jengo moja,wakati hapo CRDB kuna foleni ndefu mno imezunguka kama kamba ni kwamba lazima ukae zaidi ya masaa matano.
Sasa sisi wananchi...
Ni sawa kabisa mzee,hawo wanaoona ni makosa wanatumia masaburi kufikiri,Wanaume wazima wanakalia unafiki bungeni kusaport ungese mna ambiwa mitaala ya kufundishia sio imechakachuliwa tuijadili mnagoma, ooh iko sawa mungu naye alivyo mkuu hata mwezi haujapita matokeo yanatoka yanaonyesha 90%...
sio vizuri kuuwa mtu hata kama ni jambazi,jambazi anatakiwa akamatwe na afikishwe kwenye vyombo vya sheria.Tunalea mapolisi wenye vitambi hawana mbinu yoyote ile ya kukamata wahaini zaidi ya kujua kufyatua risasi na kama inabidi kuwapiga basi wawapige risasi miguuni sio kuuwa tutakuwa tunauwa tu...
Naililia sana hii nchi iliyokuwa imetulia sasa hivi inapelekwa wapi jamani.ninachoweza kuwaasa hawa wanaosimamia haya maovu hakika nao watalipwa hayohayo hapa duniani kama sio wao basi watoto wao.haya mambo mwenyenzi mungu anayaona yote hivyo malipo yao ni hapahapa duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.