Recent content by kocha Nabi

  1. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Hiki Kipimo cha Ulevi kila mtu anaweka mdomo wake au Mimi sijaelewa? Usalama wa Afya za Madereva unazingatiwa?

    Sitetei ila video inakatwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, video haijaonesha uhamishwaji wa direct kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwingine
  2. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Na akishatulia, ataanza kukumbuka waliomuumiza ili awaadhibu, anajikuta anachat nao kila muda anarudiana nao 😂😂
  3. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

    Labda nyumba ya milele 😂😂😂 Natania .... Muhimu uthubutu, kama nafsi yako imesema unaweza bas ninaamini utaikamilisha. Usisubiri pesa ijae, ukisave hata 30k nunua tofali jaza kwenye kiwanja. Jipe moyo ukianza ndio kwenye ushindi wenyewe
  4. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Kama huyajui haya majina basi wewe ni goodboy baki hivyo hivyo ukienjoy life. 👉 byron long, mandingo, capri styles, cherokee d'azz, nancy mitikisiko

    😂😂😂 Mkuu huyu cherokee alikuwa black beauty flani hivi. Dah kitambo sana. Huu uzi utapata wachangiaji wengi wa hovyo.
  5. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya magari ya mchanga 20cbm FAW, HOWO

    😂😂 Sijajua wanatumia vigezo gani, ila hii nimeshuhudia kuna kampuni unaacha laki 5 mezani, ndo unatoka na gari. Nadhani kazi hizi zinaenda kwa uaminifu kama daladala vile, boss unakabidhi gari lakini anajua jioni linarudi salama bila kuibiwa chochote. Upande wa kutanguliza pesa, inategemea na...
  6. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwanza usome chuo ambacho kipo karibu na home, kama mkoani uwe unakaa kwa mtu bila kulipa kodi, Pili boom lako lisihusike na kulipa ada, yaani uwe full funded na heslb Tatu, usiendekeze kula cafe, uwe na ratiba ngumu ya msosi, na msosi wa usiku ni lazima uwe unakula home. Usiwe na majukumu...
  7. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya magari ya mchanga 20cbm FAW, HOWO

    Anza kufatilia eneo unalotaka gari ifanye kazi utapata majibu mazuri. Huu unaweza kuwa ushauri mzuri.
  8. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya magari ya mchanga 20cbm FAW, HOWO

    Biashara inategemea na eneo ulipo, na tonne za gari, ama ujazo. Pia inategemea na bei uliyonunulia gari, na roho yako kama ni nzuri ama ya kikatili. Gari ya tonne 2 hesabu 50k Gari ya tonne 4 hesabu 100k Za huko juu kuanzia 250k hadi 550k kutegemea tonne za gari na eneo gari inapofanya kazi...
  9. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    My pleasure.
  10. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Endeleeni kupuliza TATEPA kutoka TTB sisi tupo tunachakalika, naona kuna mtu amepost kiwanda cha Mufindi.
  11. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    PART TEN (FINAL) Baada ya kupata misukosuko sana ya ajali nilikuwa na mawazo sana, kiimani nilishajua wapi nimeharibu kupelekea hali hii, niliwaza niende kwa mganga nikaoshwe mana watu wengi wa karibu yangu walisisitiza hili mpaka ikawa kero. Lakini mawazo hayo ni kama yaliingia na kupitiliza...
  12. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    😂😂😂
  13. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Kuza mwanao akifika umri huu ndo utaelewa.
Back
Top Bottom