Recent content by knowledge finder

  1. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Andika usichokipenda humu JamiiForums

    Matabaka miongoni mwa member.
  2. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Kufika 1 lazima ukubali kuanza 0 hivyo kwa kigezo cha kutofika na mfumo wa magharibi ingawa mfumo tulionao ni wazi hautufikishi kilele cha maendeleo mimi haikai akilini, "ukishindwa kubadilisha changamoto basi badilika wewe kuendana na changamoto".
  3. knowledge finder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada;hivi mnaelewaje mwanaume akikiambia njoo tupumzike pamoja??

    Kwa akili komavu hakuna kupumzika kirahisi rahisi, Ulikuwa na maana nje ya boksi inagwa uhusiano kati yenu waweza amua jibu liweje.
  4. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Ukweli ni kwamba Hakuna taifa la kibepari ni rafiki wa nchi zinazoendelea, Lakini TL huko ubeligiji hakufuata hayo uliyoainisha ni matibabu tu.
  5. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya std iv jamani mbona yamechelewa kiasi hiki? Prof. Ndalichako tusaidie

    Hivi sio mwezi wa pili mwishoni. Au siku hizi wameboresha.
  6. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Mkoa Gani Una Baridi Kupita Yote Tanzania?

    Iringa(mafinga) na njombe(makete) ni hatari sana kwa baridi pia kwa njombe kuna upepo wenye baridi pale makambako.
  7. knowledge finder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wa Kikurya wanapenda kuoa warembo wa Kichaga?

    Acha kutusi ke wenzio,
  8. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania HALOTEL haifai watanzania tuachane nayo tukatumie TTCL ili tukuze shirika letu.

    Sijui eneo ulipo ila kwa upande wangu download inasoma mpaka 65mb/sc Kasi hii imenitosha kupakua kitu cha mb 800 kwa dk 38 tu.
  9. knowledge finder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kichwa kinaniuma, muda wa kuoa umefika nimwoe nani kati hawa?

    Hapo angalau Kamuoe mwalimu.
  10. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania HALOTEL haifai watanzania tuachane nayo tukatumie TTCL ili tukuze shirika letu.

    TTCL wana vifurushi poa sana pia kwenye internet hususa 4G ni baba lao. Tatizo upatikanaji wa voucher ni changamoto.
  11. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Povu ukeni wakati wa tendo la ndoa husababishwa na nini?

    Kama hayo maji yanatoa harufu nenda hospitali.
  12. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    Kumbu kumbu zikiwa sahihi ni Sarajevo assasination.
  13. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    Sio mbobezi ktk geog ila Kuna nadharia nyingi zimejaribu kutuambia uhalisia wa ulimwengu kama bing bang theory, contravesal theory kuna moja inagusia uwepo wa wingu kubwa ambali lili condese kama matokeo ya kani inayovuta hivyo kufanya mzunguko wenye majabari makubwa na mwisho joto lilizidi na...
  14. knowledge finder

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu account yangu ya twitter

    Sawa, Ahsante.
Back
Top Bottom