Yanawahusu nini ya CCM wakati mna UKAWA?? Jipangeni vizr upande wenu msikalie kulialia huu si muda wake
Nyumba yenu inaungua ww unalaumu moto badala ya kutafuta mbinu za kuuzima??
1- sheria namba ngapi ya uchaguz inayosema kumwambia mtu ww mpumbavu ni kosa..tafadhali ionyeshe
2- malori yaliyowabeba yalivunja sheria no ngap na baada ya kuongea na kamanda mpinga amekujibuje
3-hiyo saa 12:35 jion vip niny mmeshafanya mkazuiliwa??
NOTE:- ACHA TABIA ZA UKE WENZA KUWA KAFANYIWA...
Ilitakiwa pia AULIZWE KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI MAANA NDIYE ALIKUWA KIRANJA MKUU...Huyo ndo aulizwe kabla ya kumrushia dongo Magufuli kipenzi cha wengi
Utajiri wake Shigongo kapewa na Mungu wake...Umaskin Watanzania wamepewa na CCM...DOUBLE STANDARD!!!! CHEMA CHAKO KIBAYA CHAKE...Roho za kutu hizo zitawamaliza....ndan ya nch moja utajir utoke kwngine umaskin kwngine...simply kawapinga juu ya FISAD WENU..shame on you
Kumbe hujawazoea tu!!! Ukiona mtu anayeweza kuvua nguo kwny haraiki halafu halafu unamwambia anasema yuko ok..jua kasoro alonayo ni kubwa mno
Angalia humu JF kuanzia mwexi wa saba kabla ya fisad kukatwa rud nyuma comments zooote walivyokuwa wanamponda kila mtu humu..Team Lowasa walikuwa kama...
Ni sahihi mkuu.. ccm iligundua hilo kuwa MASTERMIND wa mfumo huo ni LOWASA ndo maana katupwa nje(KAKATWA) ili chama kibakie safi. JE HUKO ALIKOPOKELEWA KAMA MUNGU MTU MFUMO UNAOKWENDA KUJENGWA UMESHAUJUA?? MAANA KAFILI HAACHI ASILI...
Dili dili dili kaanza kununua chama chote(isipokuwa DR SLAA...
Kosa lako ni kutumia neno "TU"
Unapaswa kuwa wewe..isitoshe inafahamika ww ni miongon mwa mliofaid TEN BILLIONS zilizo nunua CHAMA CHETU(CDM) so usijumuishe wengine kwa faida yako
Kama mamvi yuko safi unaogopa nini kuundwa kwa tume huru ili malengo yenu ya kumsafisha kwa dodoki yatimie?(MAANA...
Escrow had sasa wengine bado wanahojiwa mahakama ya maadili..KWA SASA TUMEANZA NA MAFISAD YA RICHMOND ILI YAWAFUATE WAPIGA DILI WENZAO HUKO CDM(MBOWE) KISHA BAADA YA HAPO TUNAGEUKIA ESCROW ILI NA WAO WAFUATE HUKOHUKO KWAO CHAGADEMA(WAPIGA DILI KIMASLAHI ZAID WALA SI KISIASA)
Mkuu umenena vema tena naamini ww ni BAVICHA
UNAONAJE UNGEKUJA HAPA JIMBO LA TUNDUMA UTOE SEMINA KIDOGO KWA CD AMBAO WAMEMSIMAMISHA MGOMBEA UBUNGE ALIYEKUWA KULI MBEBA MIZIGO BLACK NA TENA DARASA LA SABA FAILURE??? NJOO UTUSAIDIE MKUU TWAFWA HUKU
Kibaya kuliko vyote ni kwa WATANZANIA wenye ukweli na vielelezo vya kutosha kama huyu wanapohitajika kujitoa kuvitoa hivyo vielelezo aidha huzima cimu au hukimbia kabisa au wakibanwa husema na "mimi nilisikia JF" kuwa wizara husika zinakula njama
Hilo ndilo bomu kubwa zaid kwa TZ(pamoja na...
Hakuna vita ya mtu mmoja
Nambien kama Nyalandu alisema kwa sasa TZ imegeuka kuwa mbingu hakuna shetani...nambien kama Nyalandu alisema kwa sasa yeye ni NABII anaona kimbele nn kitatokea...ulipomkanya aidha kwa kumpiga baada ya kukosea kitu nambie aliporudia tena kutendo hicho kitu ulipaswa...
Wadanganye wa ufipan wanaokula matapishi yao sababu ys Uroho
Muda wa kuchukua fomu CCM ulikwishs zaid ya wiki mbili sasa...kilichokuwa kinaendelea ni kujinadi kwa wanachama ambapo leo pia ndo mwisho hivyo usemalo anaweza kulikubali MBOWE maana ni mroho kama fisi na siyo huku kwingine.
Note...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.