kuna maeneo ya jamhuri yetu wasioyokua watanzania waafrika wanapenya kutekeleza ndoto zao kua wabunge. Wahindi waarabu ndipo wanapitia kuingia bungeni kulinda maslahi ya tabaka lao la bwanyenye wafanya biashara. Maeneo ya dodoma singida na tabora wanatoa wali na kuhonga vihela wanapata ubunge...
Mbona Januari ni mwanasiasa asiyependwa kabisa. Mwenyewe anajiamini bure tu. Anajiona kama ni mwanasiasa mashuhuri sana. Ni mtu wa mashoo tu anautaka urais kujipatia utajiri na kujidai ucheki bob kwenye urais. Ni mtu mbinafsi kiitikadi na mwenye kuihusudu marekani na wanasiasa wake kama baraka...
Hapo mama teuzi zake za kina Yûpo tu atatuwekea konda makamu. Natumaini kama hii habari sio uzushi Nchimbi hatakubali kujiuzulu kwani anasema kweli. Mama haoni wala haelewi maana itikadi yake ni kula kwa urefu wa kamba halafu ameng'ang'ana kuongoza chama cha kijamaa. Yeye uongozi kwake ni kazi...
kama watutsi kubaki maeneo maziwa makuu wanadai lazima wao kutawala kama wanavyotawala rwanda itabidi warudi ethiopia ili maziwa makuu tupate amani. Huko watu wote wana pua refu kama watutsi. Si umeona zanzibar wale waarabu wasiokubali kuona walio wengi wanaongoza, au tuseme wasiotaka demokrasia...
Binafsi nilivyosikia eti wawekezaji wakubwa nchini sasa ni UAE nilishitika maana navyofahamu nchi hiyo kwa sasa ni imeshikwa pua na israel. Kwa hivyo uwekezaji kutoka huko tujue kuna Israeli. Yaani UAE ni trojan horse ya israeli. Kwani israeli ni hatari. Nchi hiyo ni wamafia kwa asili. Wakiingia...
The killing of arabs in 1964 during the zanzibar revolution was nothing compared with the inhumanity suffered for more than 300 years by the african population. Slavery, discrimination and all kinds of vice done to the black people. You cannot compare. That why the Arab community itself remained...
Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu.
Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
Hebu sema mama kafanya nini na nini. Usiwe ni kama yule alisifu mama kwa kutoa hela na kusema amejenga nyumba ya ya kwanza kariakoo na kuoa mke wa pili kwa upigaji hela mama anazosambaza ovyo kwa maana bila uangalizi. Saa hizi ndio tunaona mwigulu nchemba ameanza kupambana na hao walaji kwa...
Katika historia ya ulaya enzi ya utawala wa Roma ukristo ulienea na kuweza kua na nguvu kubwa kwenye maisha ya watu. Sheria za kanisa zikawa na nguvu kwenye utawala na wafalme au watawala wasingeweza kuongoza bila kukubaliwa na kanisa. Ukristo ukawa na nguvu hadi kupeleka jeshi mashariki ya kati...
Wanazuoni gani wajinga tu. Kitima ana kosa gani? Labda wanafikiri uchochezi ni chochote kinawauthi wao. Kwanza hapo wenyewe hao wanajiita wanazuoni ndio watu wa kuchukuliwa hatua kwani wamefanya tishio la kumwaga damu.
Eti jicho halijapata wekundu kabisa kwa iko kipigo. Yote ni miradi ya kuvuta helaya umma. Ukifanyika uchunguzi haki ya mungu nasema mtakuta wahuni wanavuta hela ya umma au ni hela za watu wenye maslahi binafsi na huu utawala wa wahuni wapigaji.
Kesi za matapeli tu nawapigaji. Maelezo ya kesi mtu wala huwezi kuelewa labda kama unataka uwakili kwenye iyo kesi. Mwisho wa uhuni huu ni kupigwa hela ya umma . Huyu seth singa alishakula ile hela ya tanesco mabilioni sasasijui anataka kula huko hong kong au ni kuja kula tena hela ya umma maana...
Huyu mtuni bahati mbaya sana amekua rais wa tanzania. Amerithi marehemu kisha kua king'ang'anizi kwa kutumia ubabe kwenda kinyume cha katiba ya chama chake kuhusu uteuzi wa mgombea urais na kutoa matokeo ya uongo ya uchaguzi wa urais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.