Kama dunia nzima inatambua uwepo wa daktari bingwa wa wanawake ambao wanakaa miaka 3 kusomea kiuno na kikojoleo chake, we bado unataka kutia domo lako
Fungus akili blaza pale ni shida kuna kila aina ya mdudu aletaye magonjwa....
Hakuna wa kuunder estimate hapo hata mmoja, everyone have a chance to win....marekan since then amekuwa ni openly superpower, but nkorea is enclosed superpower nation.....
Sitak, sipend na wala sitaman wapigane..
Maan madhara yake ni makubwa sana, sio kwa wa America au Korea tuu Bali nchi...
Tusidanganyane nyie mnaokataa, wakt huwa mnaona wivu mwenzenu mwenye mzigo anapopita mahala licha ya wanaume kumtolea mimacho tu Bali na wanawake wenzie wanamtolea mimacho pamoja na kumsaminisha...Bali inafikia wengine kutokana na mapenz kama hayo anaamua kumfanyia mpango kaka yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.