Kwani kuna ulazima gani kwa ACT kuzindua kampeni zake siku ya kesho kwenye viwanja vya Mwembeyanga Temeke,Huku wakijua fika kua siku hiyo hiyo ya kesho, yaani tarehe 29 Aug 2015 makamanda wanakwenda kuweka histori ya kuikomboa nchi kutoka udhalimu wa chama tawala cha CCM.
Kwa tafsiri nyepesi ni...
MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imekipa onyo kali -kituo hicho kwa kitendo chake cha kubagua kusoma taarifa zinazohusiana na vyama vya siasa. Hukumu hiyo ilitolewa leo jijini Dar es Salaam na kamati ya maudhui ya utangazaji, katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano na Kaimu Mwenyekiti wa...
Wakuu,
Naomba mnijuze ni hotel gani nzuri naweza kwenda kuenjoy week end hii nikiwa na totoz yangu pembeni kwa Dar?Maeneo yawe kati ya Airport,Ilala,Changombe,Survey au Kinondoni .
Msaada wenu tafadhali,Kejeli staki,niko serious kidogo
Nani kakujulisha kama atashinda uraisi.
Chini ya serikali hii hii ya ccm unashuhudia ufisadi mkubwa hapo wizarani kwako,lakini bado unashadadia raisi ajaye atoke tena ccm.
Umelogwa wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.