klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 33
Kwani kuna ulazima gani kwa ACT kuzindua kampeni zake siku ya kesho kwenye viwanja vya Mwembeyanga Temeke,Huku wakijua fika kua siku hiyo hiyo ya kesho, yaani tarehe 29 Aug 2015 makamanda wanakwenda kuweka histori ya kuikomboa nchi kutoka udhalimu wa chama tawala cha CCM.
Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba ACT wanataka kuzuia mafuriko kwa kiganja.
Yaani kugawa au kupunguza wafuasi watakaokua wanaelekea Jangwani.
Cheap politics ACT..
Cheap politics Zitto..
Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba ACT wanataka kuzuia mafuriko kwa kiganja.
Yaani kugawa au kupunguza wafuasi watakaokua wanaelekea Jangwani.
Cheap politics ACT..
Cheap politics Zitto..