Habari WADAU JF,
Maeneo mawili nataka nilime hayo maharge pamoja na ngwala, Maeneo ya Bwewe (karibu na wami) na maeneo ya Jitu (Tanga)
Kuna mwenye uzoefu wa hayo maeneo?
Habari Mwana JF,
Kwa uzoefu wa kutosha, miaka mingi, katika tathnia ya ushauri na biashara, nimebaini kwamba kampuni nyingi zimeingia kwenye shida na matatizo makubwa mnoooo, baada tu ya kusajili. Nime gawa makundi ya watu(kampuni na matattizo yake)
KUNDI NO. 1
KAMPUNI ZILISAJILIWA NA...
Businesses Name,
1. Garama nafuu sana
2. Ni ya mtu mmoja tu, Haina mambo mengi
3. Haina ulazima wa kuandaa Hesabu za Kodi zilizo kaguliwa
4. Umiliki wa mtu mmoja, kwahiyo anaye milikia na jina la kampuni hazitenganishwi na hivyo ana maamuzi ya haraka
Habari Boss,
Naomba kusaidia kujibu swali lako hapo juu.
Asiye na NIDA hawezi kuwa mkurugenzi, kwa mantiki hiyo mtu yeyote mwenyewe NIDA tu,anasifa ya kuwa mkurugenzi.
Kwa ufupi mtoto wa miaka 2 hawawezi kuwa mkurugenzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.