Recent content by kkba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Simba kufanya mageuzi makubwa

    Haipo cash bwashee. Ukitaka jinsi ilivotumika utapewa ufafanuzi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Simba kufanya mageuzi makubwa

    Tatzo ile cheki haikuwa na namba ya akaunti
  3. K

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame ni nani EAC? Hii jeuri ya kujiamini hivi anaitoa wapi?

    He is a CIA agent
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mghana Kwesi Appiah ndiyo alikuwa sahihi kuwa Kocha Mpya wa Simba SC kuliko huyu Mzungu wenu ambaye najua hatodumu

    Hivi ni lazima tumchukue kocha kutoka Serbia kweli?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

    Hii siyo ya kweli, wamekanusha. Yanga wameshamsaini Aziz kwa miaka 2
  6. K

    JamiiForums Tanzania Upuuzi: Simba wanaenda kurudia kosa lilelile kwa makocha

    Tatizo Simba inaongozwa na mwanadada msomi, kila kitu anajua yeye
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kituo kinachofuata: 'Mbowe ateuliwa kuwa mbunge'
  8. K

    JamiiForums Tanzania Makocha wote wanatimuliwa, ila Matola anabaki kwanini?

    Uongozi wa Simba ni wa kijinga sana. Pale mchawi ni Matola. Kwanini hawalioni hili?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

    Mim ni Simba, ila nakuunga mkono. Tuna kazi ya ziada kufanya kule south. Hatuchezi kitimu sana msimu huu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla na Maulid Kitenge ni watu wa kitengo? Story za Ngorongoro na ukimya wa mahojiano bungeni ni alert tu

    Kitenge ni sawa, ila Mayalla sina uhakika. Kitenge ni mtu wa kitengo kitambo tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Hao ni vijana wa kazi maalum, siyo kama unavyodhani wewe.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ikiwa unatamani kwenda kuishi Marekani

    Mbona kwenye kipengele cha Tariff wameonesha malipo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, nimekosea kuwapotezea baadhi ya ndugu zangu? Naomba ushauri tafadhali

    Usithubutu kuwa nao karibu, watakuroga hao. Wapotezee kabisa, wala siyo dhambi. Ni afadhali ukawasaidie familia ya mama yako.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, nimekosea kuwapotezea baadhi ya ndugu zangu? Naomba ushauri tafadhali

    Fuata moyo wako unavokuambia, ila zaidi uwe mtu wa kusali sana, maana wanaweza kukuzingua na mambo yao ya kiswahili sababu tu wewe umefanikiwa zaidi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mukoko agomea mazoezi Yanga,baada ya ofa yake kukataliwa

    Hawa jamaa ni watu wa ajabu kweli. Kocha wao mwenyewe juzi alilalamika eti amesajiliwa wachezaji ambao hajawapenda. Sasa hizi habar kwao wanaona si zwa kweli, ila za Simba ndo za kweli.
Back
Top Bottom