Soma hapa ikiwa unatamani kwenda kuishi Marekani

DV Ni Kirefu cha Diversity Immigrants Visa Program, ni Mfumo ambao ulianzishwa kulingana Na sheria Ya mwaka 1990 ya Uhamiaji ambayo Inawapa wahamiaji kibali cha Kuwa Raia Wa Marekani Hvyo basi Kusaidia Katika Kila Jambo ikiwa ni Elimu, Huduma Bora za Kiafya Kama Wanavyopewa Wazawa Halisi Wa Marekani .

Hivyo basi DV 2023 inamaanisha Mwaka 2023 ndo Mwaka ambao walioshinda 2021 wataanza kuwa Rasmi Raia Wa Kimarekani.Na DV 2023 inaongozwa na Kusimamiwa na Department Of States(DOS).

Hivyo Basi Serikali ya Marekani (USA) Kila mwaka inatoa Nafasi 50000 (50000 green Cards) kwa Raia wa nchi Ambazo zina wahamiaji (Immigrants)Wachache Ndani ya Nchi ya Marekani, ambapo Cards hizo zinawasaidia Kupata Permanent Visa na kuwa Raia Wa Marekani.

Application zinafanyika kupitia website ya Taifa inayoitwa United States of Citizenship and Immigration Services (USCIS) baada ya Kujaza Form Number I-485, Form hizo Wametangaza Zitaanza Kufunguka kwanzia Wiki Hii yan Tarehe 6 mpaka 9 mwezi huu wa Kumi.

Ujazaji wa Form ni Bure kabisa Yaani Hakuna Gharama.Form Hizo zinapage kama 18 au zaid Hivyo basi wengine huwa wanakata Tamaa na kuishia Njiani, Unachotakiwa Nikuijaza Kwa usahihi na kwa umakini bila kukosea ,Sababu Ukiijaza kwa makosa Nakupewa nafasi Baadae wakigundua Kuwa ulikosea Wanakutoa .

Wote Walioshiriki Watatumiwa Code Ambapo Computer Program Itachaguwa Hizo Code Random Ambapo Itatoa Code za waliochaguliwa na Ndio watakaokuwa washindi.

Faida ya kupata Green card:

1.You can sponsor immediate relatives.

2.Attend university for less.

3.Contribute to political campaigns.

4.Easier travel in and out of the United States.

5.Qualify to receive social security benefits.

6.Better career opportunities.

7. Less official paperwork to fill out.

Ukichaguliwa kama Mshindi Itakubidi Ugharamikie Pesa ya Usafiri Sababu watakachokusaidia wewe ni Permanent Visa(Green card) sio kwamba watakupa na Pesa ya Usafiri au kukupa sehemu pakuishi.

Ukishindwa kujaza Form Unaweza kwenda US Embassy In Tanzania kwa Maelezo zaidi.


Maestro De Quimica !!!OPView attachment 1962203
Mbona kwenye kipengele cha Tariff wameonesha malipo?
 
Bora usa kuliko bongo..huku hakueleweki..kila siku wansiasa wanazidi kufanya maisha magumu kwa wananchi..kama wewe ni graduate na huna mishe jaribu hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acheni kudanganyana eti bongo ni peponi ukilinganisha na USA.

Maisha yoyote yana changamoto. Hata Marekani kuna changamoto lakini USA ni bora mara elfu ya bongo.
 
Niko YouTube hapa naangalia channel ya I am marwa.

Aisee Lazima nitaenda kuishi marekani siku moja.



Lakin watu wengi anaowaonyesha kwenda huko wameenda kihalali yaan kwa scholarship asa za masters.

Ukienda Bila elimu kutafuta maisha utapachukia kweli kweli
 
Kama huna fursa ya maana hapa nchini ni vizuri kujaribu kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine.
Lakini ukweli ni kuwa kazi zipo lakini za kutumia nguvu ambazo wenyeji hawazitaki zinafanywa zaidi na wahamiaji.

Ukiweza kusoma ili upate elimu yao ni vizuri zaidi.
Lakini kama una fursa hapa nchini ni bora zaidi maana njia za kukua zipo nyingi na wazi zaidi.
 
Kama huna fursa ya maana hapa nchini ni vizuri kujaribu kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine.
Lakini ukweli ni kuwa kazi zipo lakini za kutumia nguvu ambazo wenyeji hawazitaki zinafanywa zaidi na wahamiaji.

Ukiweza kusoma ili upate elimu yao ni vizuri zaidi.
Lakini kama una fursa hapa nchini ni bora zaidi maana njia za kukua zipo nyingi na wazi zaidi.
TATIZO NI T/SHILLINGS..
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom