Recent content by Kiyungihussein

  1. Kiyungihussein

    TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

    Kitu kidogo kinaweza poteza maana. Kitabu kinaitwa A Knight in Africa yaani Shujaa aliyepo afrika. Na neno knight lina refer wanishani wa Mfalme wa Uingereza. Hakiitwi A night in Afrika
  2. Kiyungihussein

    BAKWATA wawakana Masheikh walioenda Kanisani Jumapili, wadai hawahusiani na nao

    Simkubali Gwajima as mchungaji sbb ya mambo yake ya hovyo. Lakini sioni sababu yoyote ya Bakwata kuwakana hawa watu. Kuwa sheikh sio lazima Bakwata wakutambue. Tangu lini Bakwata ipingane na Serikali. Ni taasis inayotumika siku zote. So as a Muslim sioni ubaya wowote wa masheikh hao kwenda misa...
  3. Kiyungihussein

  4. Kiyungihussein

    Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

    Mbona ni issue ndogo, sio lazima kusaidia, ni hiari,pia ni hiari kutangaza au kutotangaza. Sio kosa
  5. Kiyungihussein

    Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

    Its true, juzi ametoa msaada wa orphage centres shinyanga almost 15 Mil lakini alikataa isitangazwe.
  6. Kiyungihussein

    Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

    Its true, juzi ametoa msaada wa orphage centres shinyanga almost 15 Mil lakini alikataa isitangazwe.
  7. Kiyungihussein

    Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

    As u said kuongozwa na dini, backhresa huwa hatangazi misaada yake kamwe! Mo dewji ana foundation kabisa.. Mengi kutangaza ndio style na hakuna kosa.
  8. Kiyungihussein

    Baada ya 'Kiki' kuhamia kwenye siasa, wasanii waja na Gia nyingine

    Sio suala la mgomo baridi. Ndio wajibu wa wasanii. Msanii hasa wana Hip Hop ni watu walio front kuikemea serikali na jamii. Na honestly Kina nikki wameonyesha usomi na ukomavu mkubwa sana. Its a song ambao imefichwa kiasi msg lakini inaeleweka na si matusi.
  9. Kiyungihussein

    Je, waislamu walikosea kumtuhumu Ndalichako?

    Lengo ni idadi au ubora?
  10. Kiyungihussein

    Viongozi wa dini: Hatukutumwa na UKAWA kumuona Rais

    I wish hizi juhudi za Bakwata kufanya kazi na serikali pia wangezitumia kuendeleza Uislam, ningeona umuhimu wao.. wanaacha jukumu la msingi, wamekaza kwenye UKAWA.
  11. Kiyungihussein

    Rais Magufuli nenda mwenyewe kwenye baadhi ya mikutano ya kimataifa

    Sikubaliani na yote aliyosema Waziri.. ila cost ya waziri kwenda ni tofauti na Rais..
  12. Kiyungihussein

    Jinsi ya kuwadhibiti majini hawa wanne na kuwatumia kupitia pete

    Hizi picha za hawa Majini mmezipata wapi? Au mmezipigaje?
Back
Top Bottom