Recent content by kiyumba

  1. kiyumba

    JamiiForums Tanzania Ccm mwanga wamechanganyikiwa

    2015 mwisho wa dunia ya magamba watalia na kusaga meno bila CCM kufa hakutakuwa na maendeleo Tanzania the same kwa Uganda bila NRM kufa hakutakuwa na maendeleo this guys two parties must go for good, NRM and CCM
  2. kiyumba

    JamiiForums Tanzania ITV: viongozi wengi huishia kutoa matamko na ahadi bila utelekelezaji, huu ni uwajibikaji?

    they are bussy building their stomach a time will come that they will have no where to hide kiama chaja sio tanzania pekee hata uganda kwa museven we have to wake east africa lets take away those false promises by choosing right leaders
  3. kiyumba

    JamiiForums Tanzania Iringa hakuna mafuta ya taa kwa wiki tatu sasa!!

    tuliambiwa tutatumia mafuta ya ndege kwani ndo rahisi cah kujiuliza kama ndivo mbona usafiri wa ndege ni ghali kuliko dala dala
  4. kiyumba

    JamiiForums Tanzania Breaking news;watumishi elimu manispaa ya ilala wafutwa kienyeji kwenye payroll

    serikali iwe makini kwa hili au ndio ile kauli ya nchemba inatimia kuwa hawababaishwi na walimu bila walimu we couldnt be where we are now
  5. kiyumba

    JamiiForums Tanzania 500 killed in Tanzania annually over witchcraft claims

    this sounds strange kwa kweli
Back
Top Bottom