Breaking news;watumishi elimu manispaa ya ilala wafutwa kienyeji kwenye payroll | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news;watumishi elimu manispaa ya ilala wafutwa kienyeji kwenye payroll

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NDOFU, May 31, 2012.

 1. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  BREAKING NEWS
  WATUMISHI WA IDARA YA ELIMU NA NYINGINEZO MANISPAA YA ILALA WAFUTWA KIENYEJI KWENYE PAYROLL
  Watumishi zaidi ya sabini wa manispaa ya ilala wengi wao wakiwa walimu wamefutwa kwenye payroll,walimu hao wamejikuta hawana mshahara wa mwezi wa tano,habari tulizopata toka kwa mmoja wa waathirika wa tukio hilo siku ya jumamosi mishahara iliingia kwenye akaunti lakin yeye hakupata baada ya kufuatilia benki walidai awasiliane na mwajili wake alipofika kwa mkurugenzi wa ilala kitengo cha mishahara alikutana na wenzake na kuambiwa wamefutwa bila kupewa sababu,mtoa taarifa alieleza alipokwenda hazina waliambiwa wamefutwa na sababu anayo afisa utumishi,tokea jtatu mpaka leo alhamisi afisa utumishi bwana GIDEON haonekani ofisini kwake, taarifa zisizo rasmi zinasema anaWAkimbia,
  Kinachosikitisha zaidi ni pale mkurugenzi wa idara ya utumishi alipoWAthibitishia kuwa hawawezi tena kupata mshahara wa mwezi wa tano wanachofanya sasa ni kujaribu kuwarudisha kwenye payroll ili hata june wasimiss,..
  Kitendo cha hawa watumishi halali kutokuwepo kwenye payroll,kutolipwa mishahara ya mwezi wa tano kunaashiria nini?.....
  Mkurugenzi yupo kwa ajiri ya rais,hiki ndicho alichotumwa na rais ,huyu jamaa na breakfast, lunch,gari yake kuja ofisini,posho za vikao zote kapata, hawezi jalI hawa watumishi watakuLa nini,?. wataishi vipi….
  Hawa wa kiume watauza nini ili waishi hapa mjini ?
  Mwalimu aliacha ualimu akaingia kwenye siasa,wote tuingie huko?
  Kazi ya ualimu hapa tZ ni laana
   
 2. kiyumba

  kiyumba Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  serikali iwe makini kwa hili au ndio ile kauli ya nchemba inatimia kuwa hawababaishwi na walimu
  bila walimu we couldnt be where we are now
   
 3. s

  sugi JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  hivi sheria inasemaje kuhusu kukatiwa mshahara bila kupewa sababu?huwa hakuna fidia?,maana unakuwa umemuathiri m2 kwa kiasi kikubwa!
   
 4. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huu unyama sana. Poleni waalimu.

  hapo kwenye blu una maana kuwa wakike wanacho cha kuuza?
   
 5. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Poleni sana kwa yanayowakuta, na hiyo ndo serikali tunayoitumikia, "kuna dili la kukusanya kura za maoni!, mtaitwa tena"
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,366
  Trophy Points: 280
  Hilo ni tatizo, na HRO kuwakimbia sio tiba!

  lakini kwahapa tujiulize, Manispaa ya Ilala iliwahi kuwa na idadi kubwa ya walimu walioamua kwenda kujiendeleza (manispaa ikasema wametoroka na hawakuruhusiwa kwenda shule/chuo) na moja ya 'adhabu' waliyopata ilikuwa ni kutopatiwa mishahara yao?????! Isije kuwa hali hii imejirudia tena
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kama hro kawakimbia si wakakeshe na mkurugenzi wa manispaa?
   
 8. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapewe majibu ya kueleweka na hiyi kauli ya kuwa mshahara huo hawawezi kuupata ni uongo, wajaze salary claims arrears form na kuandika barua makao makuu yao kupitia vituo vyao vya kazi tayari kwa kurejeshewa.
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Walahi nimeipenda hii!! Hivi lakini si waalim hawa hawa ndo SSM inawatumia kuwa watumishi na makarani wao wakati wa uchaguzi? Huwa ikifika wakati wa uchaguzi ni mavuno japo kidogo kwa waalimu. Kweli SSM hamna shukrani. Sasa kazi kwenu waalim hivi yule kiongozi wenu mwoga na mtu wa system Gratian Mkoba bado mnaye? Hana lolote la kuwatetea yule!!!! Maamuzi sahihi mnayo 2015.
   
 10. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na wanawake watauza nini kuwa muwazi tuu naona kuna kitu unaficha hapa!
   
 11. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Pole sana mwalimu mwenzangu, umeongea kwa uchungu hadi nimetokwa na machozi hapa
   
Loading...