Recent content by kiwoso1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Aliyetuma ana tatizo la Afya ya Akili. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Acha Umasikini wa fikira. Fanya kazi mtoto wa kiume. Kesho Familia na Ukoo wako watapata Ajira hapo. Piga kazi. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Hizi Polyclic karibu zote zimeanzishwa kama Uyoga lengo kuu ni kuuza dawa kwa watumiaji wa Bima za Afya hasa NHIF
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma Duni Haji na Shehe Ponda Wamtembelea Freeman Mbowe Gerezani

    Amekosa nini?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

    Mh.Kikwete alisema "Za kuambiwa changanya na za kwako" Dawa ya malaria ilipoanza wengi iliwadhuru. Kila dawa ina uzuri na ubaya kutokana na anayeitumia miili yetu haifanani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Mzee wa toza ya sim card katika ubora wake. Wanatufanya wajinga sana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

    Wanatufanya wajinga hapo kabla alikuwa wapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

    Kila zama na kitabu chake lakini kilichopita kiliangamiza na kudidimiza Utu na Utaifa wetu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Hapa ni Katiba Mpya ya Serikali tatu. Tanganyika, Zanzibar na ya Tanzania vinginevyo kila upande unasema unanyonywa na upande wa pili.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Sio kila kitu lazima uweke mtu mahabusu, sio kila kitu lazima umuandikie notification

    Sijui kama hapa askari wetu watakuelewa. Lazima wabadilike kuna maisha baada ya kazi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

    Pole Pole amekuwa haraka haraka . Amekuwa kinyaaa. Hathaminiki tena ndani ya jamii. Dharau kwa binadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu, laana KUU itampata. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    Maskini akipata MATAK. hulia mbwata. Hakika Polepole kwa matusi , kashfa na dharau zako zimefika kikomo. Wote tu Watanzania mbona dharau zimezidi. Kuna maisha baada ya hayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Shule umesoma wapi? Kiswahili kibovu kibovu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge James Ole Milya atoa neno kwa Watanzania

    Acha wafu wazikane. Kiti cha moto, unaona 2020 kugumu, huaminiki na ubunge kwaheri. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pendekezo: John Mrema agombee ubunge jimbo la Vunjo

    John Mrema atachaguliwa kwa kura nyingi hasa wakati huu Mbatia kaelekea upande wa pili. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom