mimi nafikiri matatizo yalianzia kwako mwenyewe. pia jiangalie jinsi ulivyo play part kuhakikisha huyo mke wako anaachana na jamaa yake ili wewe umpate. hivyo unavuna uliyopanda
nimemsikilza kwa kweli hana jipya zidi ya kupigia ccm kampeni. bungeni alisema waziri mkuu hakupatikana na kosa ila ajipimw mwenyewe. leo anasema walisema waziri ajiuzuru. yule dr mwongo sijui kala maharage ya wapi vile?,
hauna jipya. 9 years wamenyamaza tu, hiyo ndo nini? naye mpiga dili tu
wewe jamaa naona unamatatizo, kinachofanya watu waibe ni mfumo mbovu wa kiutawala. kuwapokea watu mimi sioni kama ni kosa, watajifunza philosophy mpya.
Kama ndivyo, ndivyo inavyotakiwa. tuache kuendesha mambo kimazoea, watu wanaharibu halafu wanafumbiwa macho au mmnaoneana haya....lazima viongozi wauishi uongozi wao. unapogundulika umetapeli mali za umma lazima uwajibike, bila hivyo hatuwezi kusonga mbele kwani mafisi yanazaliwa kila kukicha
umelogwa wewe, si bure. zzk ni msaliti. yeye mwenyewe anayajua aliyokuwa anafanya na ndio maana hawezi kubishia. hoja zenu za kuleta wabunge wengi, ni porojo tu ndigu yangu, wananchi ndio wanaochagua
Mbona hata wewe husemi nini hajafanya? Ccm imekuwa na jimbo hilo kwa zaidi ya miaka 50. Mnataka kumbebesha lawama MTU aliekaa kwa miaka 4 tu? Tumeona mnyika akifuatilia maji mguu kwa mguu, mi nyinyiem ndo mnaweka kauzibe
Hiyo Mahakama bado mwenzenu siilewi vizuri. kama inawahusu wao tu kwanini tena kutumia kodi za wananchi wote kuijadili Bungeni? je na wakristu watengeneze sheria ziingizwe kenye katiba ? kichwa kinauma kwa kweli
sijapata kuona profesor mwongo maishani mwangu kama huyu Prof. Muhogo, muongo au Muhongo! by Kigwangalla. Jamba jamba leo kang'oka. siasa sio course work na assignment za wanafunzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.