Ujumbe kutoka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema.
Mh Rais Magufuli nakusalimu.
Nimetoka Magereza hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi.
Mh Rais, nimeona kwenye vyombo vya habari leo kuwa...
Akili yangu inasema HAPANA! Aachwe amuhudumie mumewe (wanazeeka hawa)....ten yrs wamekuwa bize na taifa....huku ni kuwarudisha waanze kushindana tena na kina Wema Sepetu!
Naona gambo umekuja kujisafisha hapa. Ila kumbuka mkurugenzi ni katibu ktk baraza la madiwani hana mamlaka ya kupanga matumizi ya fedha. Sio kosa lako kwani kutoka kurepair computer mpaka ukuu wa mkoa nalo ni tatizo pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.