Jim007 2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 395
- 247
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo katika kuhakikisha ilani ya chama tawala CCM inatekelezwa kwa vitendo, alimuagiza mkuu wa wilaya Mhe Fabian Daqqaro na mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia kusimamia na kuhakikisha kuwa:
1.Zinatengwa 10% ya mapato ya ndani kila robo mwaka kwa ajili ya mikopo ya wanawake na vijana.
2. Vikundi hewa vya watu wenye nia ovu wakiwamo madiwani wa Chadema wanaopiga dili kupitia saccos wanadhibitiwa.
3. Utaratibu wa utoaji mikopo hiyo unafuatwa badala ya ule wa kiholela wa kila diwani na vikundi vyake feki.
Mkurugenzi huyo alitekeleza maagizo yote 3 ya RC huyo kwa kufanya yafuatayo:
1. Alitenga fedha toka mapato ya ndani na kubana matumizi yasiyo na tija kwa kufuta posho za kifisadi za madiwani na meya na kupunguza matumizi mengine yaliyokuwa awali yanayofanywa kwa mazoea ikiwemo kuzuia kampuni za baadhi ya madiwani wa Chadema kutoa huduma za chakula na photocopy tena kwa bei ya juu kwa kushirikiana na afisa Manunuzi ambaye si mwaminifu. Baadhi ya madiwani wanaohusika na kashfa hiyo ni pamoja na Kinabo wa kata ya Themi, Efata Nanyaro wa kata ya Levolosi, Paul Matsen wa kata ya Moshono,, Meya Kalist Lazaro , diwani wa kata za unga limited na Ngarenaro aitwaye Doita ambaye ni mlevi sana na pia anavuta bangi.
2. Amehakiki vikundi bandia kupitia mkaguzi wa hesabu wa jiji na kubaini madudu mengi yaliyokuwa yanafanywa na madiwani hao tangu januari 2016 ikiwemo majina ya wake/hawara zao na watoto wao.
3. Kuunda kamati za mikopo katika ngazi za kata na ngazi ya Halmashauri ambapo ktk ngazi ya jiji mkiti ni mkurugenzi wa jiji na wala siyo meya pia wajumbe wengine ni wabunge ambao walishiriki kikamilifu na wala siyo madiwani hii ni kwa mujibu wa mwongozo wa wizara yenye dhamana ya wanawake na vijana..
. Kiasi cha shs 624 million zilizokopeshwa zipo ktk utaratibu sahihi tofauti na hapo awali.
Ujanja ujanja wa madiwani hawa sasa umefika ukingoni mara tu baada ya rais mwenye upeo mkubwa duniani mhe Dk John Pombe Magufuli kumteua Mhe Mrisho Gambo kuwa RC Arusha.
Madiwani hao wanajipanga kupambana na mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia kwa mara ya saba(ambapo wamepambana nae mara sita ili wamng'oe lakini hawakuweza kwa kuwa hawana hoja zaidi ya matusi na vitisho ) ktk vikao vinavyokuja ili angalau wapate upenyo wa kuiba fedha za mikopo hiyo awamu ijayo kwa kupandikiza vikundi hewa. Hapo awali waliiba kupitia posho za mafuta na simu pamoja na kuuza viwanja na kuchukua hongo katika vibanda vya maduka ya stendi na Soko kuu ambapo posho hizo zilifutwa na wengine kufikishwa mahakamani kwa utapeli wa kuuza viwanja vua jiji kinyemela huku maduka hayo yakiwekewa utaratibu na serikali baada ya madiwani hao kugomea sheria na kutaka mazoea.
Kwa kiwango kikubwa madiwani hawa hawafahamu wajibu wao wanadhani ni chadema ndiyo inayotoa wala kumbe ni ccm ndiyo inayotoa wala nchi nzima chini ya ilani yake ya 2015 hadi 2020 ndiyo maana kila kukicha wa namuombea mkurugenzi mabaya lakini sasa wameishiwa pumzi wamebadilishwa na ugombea na chuki bila hoja.
NAWEZA KUSEMA MADIWANI HAWA NI SAWA NA MAJANGA MENGINE YALIYOWAHI KUIKUMBA NCH YETU.