Recent content by kivukoni

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    tumuulize mange kimambi, atakuwa na jawabu mujarabu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe agoma kupokea mkono wa Prof. Lipumba mazishi ya Kingunge makaburi ya Kinondoni

    Wote ni wenyeviti ila mmoja ni kiongozi wa kambi ya upinzani. Mbowe ni senior kwa lipumba sasa kwanini amuachie kiti!
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiislam mlioolewa: Unaona sawa mumeo akiongeza wanawake hadi wanne?

    Muislam jina watakuwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

    Wako kwenye promosheni nadhani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa heri Major-General Lupogo. Tunakukumbuka kwa kipigo cha Sebambule dhidi ya Idi Amin

    hivi kimario hakuwa expert! wanajeshi aliotumia kimario walikuwa tofauti na lupogo? kwenye mahojiano na kitabu cha jenerali wa uganda anaitwa rwehururu anakiri ujio wa kimario ulibadilisha upepo kwenye uwanja wa mapigano kwa sababu walipigwa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa vita. it seems kimario...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

    Makongoro mahanga
  7. K

    JamiiForums Tanzania Best stand up comedian of all time,..hawa wameshindikana kwakwel,

    You got it [emoji817]
  8. K

    JamiiForums Tanzania Best stand up comedian of all time,..hawa wameshindikana kwakwel,

    U need to watch comedy more. They are outstanding. Kevin hurt bado sijamkubali
  9. K

    JamiiForums Tanzania Best stand up comedian of all time,..hawa wameshindikana kwakwel,

    Richard prier and George Carlin old school best
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutapeliwa na kijana Kitomali wa Wazo, Dar nimemtia mbaroni

    Matapeli wengi mbali ya kuwa na maneno na akili nyingi pia ni washirikina sana. Wanatumia sayansi ya giza kufanikisha mambo yao. Omba dua kukuepusha na ulozi wakati unaendelea na kutafuta haki yako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

    Kiboko yao. Kama ukipata Kubota ndio mpango mzima
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kisheria PALESITINA hawana haki ya kudai mji wa Jerusalem.

    Wayahudi wanamuona yesu kama myahudi mwingine mwenye akili. Tembea dunia uone, huyo anaedhani wayahudi wana muda na ukristo better think again and again. Myahudi ni mwenyewe tu wengine ni bughudha. Myahudi hayuko pamoja na mtu mwingine do not ever kid yourself
  13. K

    JamiiForums Tanzania Heche: Kanisa lilisimama imara kukosoa wakati wa Kikwete, ingekuwa kipindi hiki kanisa lingefutwa

    Hata mimi namekuwa na mawazo hayo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa ktk mkutano wa CCM. Nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa liko wapi

    Meya ni mwanasiasa unategemea afanane na technocrat! mzima kweli wewe...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa ktk mkutano wa CCM. Nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa liko wapi

    Alitakiwa afukuzwe kazi Mara moja. Wanasheria waweke ushahidi siku huyo anaewalinda akiondoka wamfunhulie mashtaka ya kuibia serikali na matumizi mabaya ya madaraka
Back
Top Bottom