Wakuu,baada ya kumwangalia Lukuvi akitutisha sisi wananchi wenzake juzi pale bungeni,iko kama vile watawala wame panick,kuna kitu gani wanachoogopa kwenye S3(serikali tatu) ambacho wanashindwa kutueleza sisi ndugu zao?Maana kwa akili za kawaida,ikiwa utashi wa kisiasa utakuwepo,kwa pamoia ndio...