Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room, dinning room, kitchen.
Bei shs 200,000 kwa mwezi kwa mawasiliano 0713131200
Rejea kichwa cha habari.
kutokana na changamoto za uhamisho wa kikazi nimeamua kuuza vifaa vyote vya bakery vilivyopo mwanza. vifaa vyote ni vizima na vinafanya kazi kabisa.
vifaa hivyo ni kama ifuatavyo;
1.Oven kubwa la ngazi tatu (jiko la kuoka) = 2.5
2. Proover(mashine ya kuumulia)=1.m...
Habarini za leo wanajamii forums, nina kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti ni kipya na kipo kwenye jengo jipya kabisa katika kijiji cha shelui wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo ni maarufu sana kwa kilimo cha zao la Alizeti, pia kiwanda kipo pembezoni mwa barabara kuu ya Singida - Igunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.