Recent content by kiula neema

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Hi nimeipenda Sana maana fungu la kumi linasaidia Sana kulinda biashara na kazi yako maana nimeona kwangu Mungu ametenda kwa ajili ya fungu la kumi .Itabidi na hayo mengine niyafanyie kazi Asante Sana kwa ushauri mzuri mno wenye faida Sana .Ubarikiwe mno
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Yeye anaongelewa kwa sababu amekufa akiwa madarakani na kazi zikiwa zinaendelea
  3. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Pacome ni master zaidi Chama mechi kubwa hawezi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Acha kelele piga kura
  5. K

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    Eti mamelody [emoji849][emoji849][emoji849][emoji28][emoji28][emoji28]
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Vovmvvvvvvv
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Yanga apigwa faini kwa sababu ya ushirikina

    Hujawahi kurogwa wewe siku ukirogwa ndio utajua uchawi ni nini na upo na unafanya kazi omba Mungu yasikukute
  8. K

    JamiiForums Tanzania To my JF family, nina DEPRESSION

    Mwamnini Mungu Sana hakikisha kwenye klia faida yako ya mauzo utoa sehemu ya 10 ya Mungu ni hela ndogo Sana Ila ina maajabu makubwa mno toa kwa uaminifu utafanya biashara mpaka ushangae
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu vya ndani nahama mkoa chagua kitakacho kufaa

    Uko mkoa gani ?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yanga: Thamani ya Mayele ni bilioni 2.

    Mayele bado Ana mkataba wa mwaka mmoja na Yanga fatilia uone
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bandari inapigwa Mnada wewe unashangilia Yanga?

    Wewe uliyeketi umeweza kuzuia mkataba kusainiwa ? Mbona umesainiwa na huna la kufanya Bora aliyeshangilia Yanga amepata raha kuliko wewe uliyeishia kusononeka .
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka mchezaji yanga wape ubwabwa tu

    Ongeni yote sijui mlitakaje kweli watu wameshamaliza tukio kila mtu kapata chake mlitaka mwisho uweje ?
  13. K

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Ndio Ni matuta
  14. K

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Fainali Haina magoli ya ugenini wewe
  15. K

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki ni mzigo, anavumiliwa kwasababu ni mgeni

    Mtaongea Sana lakini medali tunavalishwa tangu muchuano hii ianza Makolo wengi walikuwa wanaumwa vidonda vya tumbo Ila Jana wengi wamepata auheni poleni Sana.
Back
Top Bottom