Recent content by Kityura

  1. Kityura

    JamiiForums Tanzania Libya: Mtoto wa Gaddafi kugombea urais mwakani

    Gaddafi alikuwa dictator na aliua watu wengi waliokuwa wanapinga utawala wake! Na ndio maana alikufa kifo kibaya sana!
  2. Kityura

    JamiiForums Tanzania Libya: Mtoto wa Gaddafi kugombea urais mwakani

    O
  3. Kityura

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hajui kuzungusha kiuno kabisa kunako sita kwa sita sijui nimfukuze

    Umeoa mtoto Wa kishua sana maana maisha yake yote ni boding mwanzo mwisho hajafundwa jinsi ya kumhendle mwanaume badala yake akiwa Miranda I na mwanaume anakuwa kama dish last DSTv, ametulia tu hajishughulishi unabakia unahangaika pekee yako, mrudishe kwao akafundwe alafu ukamchukue tena...
  4. Kityura

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hajui kuzungusha kiuno kabisa kunako sita kwa sita sijui nimfukuze

    Mrudishe akafundwe upya, tatizo vijana mnaoa hawa wanawake waliokulia kwenye maisha ya kishua toka udogo wake mpk kuolewa, mfano toka alipofkisha miaka minne maisha yake yote ni boding kwann akiwa na mwanaume kitandani anabakia kama dish la DSTv mwanaume unahangaika pekee yako huwez enjoy zaid...
  5. Kityura

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Jomo KENYATTA Ni Mandela Wa Pili Afrika

    Kiukweli nimemkubali Uhuru kwa kile kinachoitwa kutenguliwa kwa matokeo ya uchaguz yaliyompa yeye ushindi wa kuwa Rais! Nimesikiliza hotuba yake kwakwel nimempenda sana kwa kuonesha uzalendo na utu maana angeweza hata kukataa maana alikuwa na mamlaka kamili kisheria kuwepo kwenye kiti hicho...
  6. Kityura

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

    Ohooo mnataka wapigwe mabomu nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kityura

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Tusubirie dk 90 ndio msema kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kityura

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Msambwanda je? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kityura

    JamiiForums Tanzania Kauli ya ACT Wazalendo baada ya Rais kuamuru hakimu ahamishwe

    Kama lijitu linakula rushwa kwann asihamishwe hapo? Na kama akigundulika sheria ifuate mkondo wake! Haiwezekani kila kesi ashinde mfugaji na inavyoonesha hilo jina la Laizer huwa ni Wa jamii ya wafugaji ndio maana anafanya hayo anayofanya kwa wafugaji wenzake! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kityura

    JamiiForums Tanzania Nimeponea chupuchupu kulipia kundi kwenye mtoko

    Nimekupongeza kwa kuwa na akili ya kujiongeza mkuu. Hiyo walet ingefumliwa vibaya mno nahisi ungebaki na vitambulisho tu basi! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom