Habari zenu wapendwa,
Jamani naomba msaada kwa aliyewahi kufanya computer test interview na shirika la Peace Corps, huwa hasa wanabase kwenye kitu gani?
Asante sana
Asante mkuu kwa ushauri,kimsingi si kumpuzaa kiasi hicho ila tu zile changamoto za kawaida ambazo naamini kwenye mahusiano mengi sana,sema tu ndo alichokieleza yeye ndo kimenivuruga kwa kiasi kikubwa
Naamini Jumapili iko salama kwa kila member na Kama hali haipo hivyo,ni changamoto za maisha tu,amini mambo yatakuwa sawa.
Kisa changu ni kama ifuatavyo hapa chini:
Mwaka 2015 nilihamia mkoa mmoja huko nyanda za juu kusini nikiwa kijana ambaye sikuwa na mahusiano ya kudumu. Katika pitapita...
Dawasa hivi unit moja ya maji kwenu ni bei gani, maana nimeshangaa kuona kila mwezi bili inaongezeka wakati kwenye matumizi hakuna kilichoongezeka hapa kwangu,bili iliyoanzia 25k kwa mwezi ila mpaka leo hii nimetumiwa bili ya 65k kwa mwezi,pia mnakuja muda gani kusoma hizi mita au mnakadiria tu...
Daah maisha yangu ya shule yalikuwa ni safari ngumu sana kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu, katika hatua zote niliwahi kufukuzwa kwa muda kama ifuatavyo:
Nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna jamaa alikuja kurudia mitihani,yaani alimaliza std 7 shule fulani akafeli ndo akaja shule...
Jamani kuna hawa jamaa wanaitwa Africovid International Tanzania, nimeona wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kama 87, humu ndani kuna anayewafahamu, na hili tangazo mbona kama utapeli upo nje kwa nje!
Msaada tutani.
Karibia mitandao yote kesho itabadili price za bando mbalimbali,kwa hiyo tujiandae kwa mabaya zaidi,mfano halotel bando ya 10k ilikuwa 10GB, kuanzia kesho bando ya 10k itakuwa 4GB.
Chenga sana hao jamaa, nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufanyiwa interviews Kama nne ya position moja,tulianza tukiwa candidates 8,wakachujwa nikabaki mmoja,nikaambiwa nitapigiwa simu ili nipewe mkataba,mpaka leo sikuwahi kupokea simu yao.
Kusema ule ukweli hili la fao la kujitoa linawaumiza wengi na ni dhuluma ya moja kwa moja kwa mfanyakazi ambaye amekatwa pesa zake kwa ajili ya hifadhi ya mifuko ya jamii, sasa unakuta mtu kapata mkataba wa muda mfupi na ukiisha ndo mwisho wa ajira yake hasa kwa upande wa private sector lakini...
Sasa hapo hao TCRA ndo wameleta suluhisho gani sasa?yaani wametatua tatizo lisilo la msingi.Kiuhalisia watu wanalalamika kuhusu bei kubwa za vifurushi ambazo haziendani na matumizi halisi lakini pia zinazobadilika kila kukicha,kwa mfano,unakuta umejiunga kifurushi cha GB 5 kwa wiki,lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.