Recent content by Kitwange

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Kingunge ajitoa CCM
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Huyu Jamaa ni Nani?

    Fredrick Mwakalebela
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

  5. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Naona kama Kitila anatumika vile na Zitto kwa kusema kuwa Zitto alikuwa hajui kuhusu huo waraka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Le Mutuz bwana, hujajipanga kabisa yaani, kwa hiyo kama kuna waliombaka kabla then its okay kwa Kapuya kumbaka???
  7. K

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

    Sasa hapa upande wa pili upo wapi? Naona bado unaelezea upande ule ule, I thought umekuja na story ya upande wa Kapuya...!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa January Makamba

    Hebu wekeni hii sawa: (a) alipata zero form four (b) aliiba mtihani akapata zero form four (ikiwa hivi itakuwa noma kichizi) (c) alifaulu form four lakini aliiba mtihani The same can be asked for form six results.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    Dogo kaondolewa Big Brother House kwa kuanzisha ugomvi na Mshiriki mwingine (Elikem). Nando made threats against Elikem's life, saying ''I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die'' My take: He had it coming.. karibu home (or would it be safari njema to US?)
  10. K

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Mzee Reginald Mengi ame tweet mawazo yake juu ya Kauli ya Nape Nnauye ambae inadaiwa kasema waliopendekeza Serikali tatu ni wazee wanaosubiri kufa. --------------------------- Habari Kamili --------------------------- NAPE: Waliopendekeza Serikali tatu ni Wazee wanaosubiri kufa MZIMU wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama Tendwa mungu Aifute CHADEMA tuone basi...

    Kwa hiyo Mzee Mwanakijiji ndiyo Lula wa Ndali Mwananzela.....AU?????
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

    Font ya barua iliyowekwa mtandaoni na font ya maelezo ya Zitto kama ni moja vile? What if barua ime-leak from Zitto's computer?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

    Cut to the chase Maggid, u r afraid of changes, aren't u?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Being sarcastic????????!!!!!!!!!!!!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa CHADEMA bado wamuandama Kikwete, amethitisha kwa kauli zake leo hii

    Mipasho kama kawa....
Back
Top Bottom