Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,468
- 29,910
Chama cha Mapinduzi ni janga la Kimataifa na Kitaifa..
Wamejisalimisha kwenye tume ya kidini iliyoundwa baada ya kuambiwa watapelekwa ICC The Hague.
Hawajatajwa kwa majina lakini wote ni kutoka CCM.
What do u mean 'tume ya kidini'?
WHY ALWAYS ME?! - by Balotelliwauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?
Wapigwe tu, kwa kuwa tumechoka!Watajwe na kisha watolewe hadharani ya Mabina yawapate nawao tumechoka na udhalilishaji wa nyumba yetu sasa.
wauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?
Ugonjwa wa kutotaja majina unaendelea... Zitto hajataja wana Uswizi, Mwakyembe kuna mambo hakuyataja, Lembeli naye kuna majina hakutaja, Pinda hakutaja meremeta, Jakaya hajataja wale wauza unga na wale wezi wa bandari....etc etcWamejisalimisha kwenye tume ya kidini iliyoundwa baada ya kuambiwa watapelekwa ICC The Hague.
Hawajatajwa kwa majina lakini wote ni kutoka CCM.
Source: Gazeti la Nipashe.
Limeshajaa, iliyobaki tuchimbe jinginesi wajua ukubwa jalala....
wauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?
Jangili kuu Kinana limesalimika?