Habari ,
Naitwa Saidi, natafuta mchumba ili tufike kwenye ndoa. Mchumba ninayemtafuta awe mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 25. Awe na elimu ya chuo kikuu, awe muislam, mkweli, mwaminifu, anayejishughulisha, asiyekuwa na watoto, pia awe tayari kupima Ukimwi. Namba yangu ya simu nitatoa...