natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by kitutunyantuntumbe, Sep 19, 2012.

 1. k

  kitutunyantuntumbe Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ,
  Naitwa Saidi, natafuta mchumba ili tufike kwenye ndoa. Mchumba ninayemtafuta awe mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 25. Awe na elimu ya chuo kikuu, awe muislam, mkweli, mwaminifu, anayejishughulisha, asiyekuwa na watoto, pia awe tayari kupima Ukimwi. Namba yangu ya simu nitatoa baada ya kufahamiana na mhusika. Email yenye picha itapewa kipaumbele zaidi. Napatikana kwenye email: saidi.bakari@rocketmail.com
   
Loading...