Kwa wasichana walio single tu ndo inawahusu

ngulangwa

Member
Sep 18, 2012
18
45
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:

1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani.
3. Mwenye degree au elimu kuanzia form six au diploma
4. Mwenye kujiheshimu na aliyetulia

kuhusu mimi:
1. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
2.mimi mrefu mwembamba maji ya kunde.
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
mbona wasichana wako wengi uko uliko? Tembea tembea muda wa usiku wengi tu' wenye tabia kama yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom