Recent content by Kitumbua Mchanga

  1. K

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Mwanafunzi wa kidato cha sita Sundi George, auawa katika mazingira ya kutatanisha

    Kwani mianzi inatenda mauaji ya kikatili?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Mwalimu Ruba Mara Sec... alikuwa akifundisha Kiswahili. Mfupi na mkorofi au akiigiza kutojua kiingereza vizuri, kandambili anaziita two zones, kuruka kichura akiita jump frog frog. Kila mara utamsikia, 'ntakuganda kama ruba.'
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Mwalimu Mamba, Tabora boys alikuwa akifundisha history. Domo kubwa akilifumba na kufunua 'mmwaaaa' akisema, 'yes, that is thaaat'
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Tabia yake ya kutaka kunigeuza mdhamini wa mradi wake niliogundua baadaye alikuwa akifadhiliwa na buzi lake huko awali. Kwangu akataka mtaji wa mara nne!
  5. K

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Mwanafunzi wa kidato cha sita Sundi George, auawa katika mazingira ya kutatanisha

    Polisi hawajajua chanzo cha kifo, wengine mmesharukia kuwa ni mauaji ya kikatili. Kama alijinyonga mwenyewe je? Acheni kulipuza mambo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

    Kwa hiyo unajitokeshatokesha ili umpime kujua anakutazamaje sio? Wee endelea tu, jamaa keshakudelete. Kama una gutts za kuendelea kujipendekeza, hongera sana!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Kwa maana hiyo kapona kutumbuliwa kutokana na zali kubumburuka mapema au kikaango kipo pale palee?!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Soo hata siginecha ya mkurugenzi imefojiwa? Basi abadilishwe aletwe mwingine mwenye signecha ngumu kuigiza
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

    Ngoja ninywe maji kwanza
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu anafanya mapenzi mara 9 kwa usiku mmoja

    Jamaa ulimkuta katoka jela ya Guantanamo... ndo ukome!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge majimbo ya Kinondoni na Siha, Udiwani Kata 8: CCM yanyakua majimbo yote!

    Chadema is now CHADOMO. Hawana mikakati, kila wakati kuchokoza dola na kuomba huruma za wananchi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    Hata huyo mtu mzima siku akitabasamu vyema ndo utajua bado analipa, na utaingiwa na mzuka hata kumzamia. Mauzoefu utakayoyapata ndo utajishangaa na roho yako.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    Maanake sh10,000 x siku 2 kwa wiki x majuma 4.5 kwa mwezi = sh.90,000/= kwa mwezi. Tu sijajua hiyo ni sarafu ya nchi gani.
Back
Top Bottom